Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
My wii acha tu ni raha kweli ukiona mwingine kanyoa na amependeza...Mambo zako wifi?, na wewe unajishauri kunyoa kama mie!, nywele fupi zina raha yake lakini kama umezoea ndefu kunyoa kunahitaji moyo sana.
Sasa mi nilivo kigeugeu nikinyoa baada yawiki nikiona mwingine kabana nywele zake ndefu natamani tena...chaa