Victoria Secret Fashion Show: Models With Natural Hair on the Runway

Ngoja siku niamke na mashetani nanyookea moja kwamoja kwa kinyozi
 
Kuna Mbongo alishiriki jana kwenye Victoria Secret 2016 Fashin Show. Ni mbongo kwa Baba na Mama anaitwa Harriet Paul, ni model huyu anayeishi na kufanya shughuli zake New York.

WOW!...no wonder BAK anataka iwe mara nne kwa mwaka. That right there, is what Fun is.

Go Harriet..!
 
Lol! Now you agree with me eh! One hour of this show IMO is not sufficient enough.

WOW!...no wonder BAK anataka iwe mara nne kwa mwaka. That right there, is what Fun is.

Go Harriet..!
 
The audience is there kui that means ratings will be off the roof. I know you'll be watching too πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Acha tu, mara zote hizo sijui za nini sasa.
 
Reactions: kui
Lol! Now you agree with me eh! One hour of this show IMO is not sufficient enough.
The audience is there kui that means ratings will be off the roof. I know you'll be watching too πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Hehe, you know I'll be watching...got that right. πŸ˜€
 
Reactions: BAK
Uwiiiiii!!! Hilo bichwa sasa!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hapa kwenye umbo la kichwa ndo kwenye issue mjue, kunyoa sio issue.

Ni muhimu mnyoo uendane na kichwa, ngozi ya sura halafu na umbo la mwili. Kimoja kati ya hivi kikizidi mwingine sana inakuwa tatizo kdg.
Nywele ndefu zinaficha mengi. πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…