Victorien Adebayor na mahaba ya Simba

Mashabiki wa simba ni mazuzu na washamba
 
mahali yake ntapokea 🤣🤣🤣
Hawa Utopolo ni wanjinga sana mkuu, tena hasa hiki kipindi ambacho Simba Sc inafanya vizuri CAFCC ndo wamechanganyikiwa kabisa, team yao inaongoza ligi ila sio habari ya kushitua kabisa, sijui kwa nini tu?
 
Hahahaha kubeti nako bado ni story ya kushangaza hapa mjini?

Stress nizitoe wapi ikiwa tangu nazaliwa mpaka leo na ukubwa wangu sijui kitu kinachoitwa SHIDA ? (Namshukuru kwa hili)

Nyinyi masikini (mafukara) ndo mnaokuwa na stress.
We jamaa unanitafutia ban tu.
 
Muwekee na Kichina na Kiarabu azidi kuamini.
 
Acha wivu maisha yenyewe mafupi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…