Victorien Adebayor na mahaba ya Simba

Victorien Adebayor na mahaba ya Simba

Watanzania tunaongoza kwa ushamba na ujinga mwingi sana.

Hawachukui muda wao kufatilia account kama ni official ya mchezaji husika watu wanakurupuka tu.

Account rasmi ya mchezaji huwa haianzi baada ya tukio fulani bali huwa inakwepo tokea kipindi kirefu. Ukiangalia hiyo account ambayo imeingiza watu kingi ni kwamba imeanza kuposti kwa mara ya kwanza tarehe 22 mwezi wa pili.

Mechi ya USGN vs Simba ilifanyika tarehe 20 mwezi wa pili. Hivyo ni mtu tu kajifungulia account baada ya mechi ya Simba kucheza na USGN kule Niger na Adebayor ndio kuonekana mtu aliyeimbwa sans Ni account fake ni Adebayor wa michongo
Mashabiki wa simba ni mazuzu na washamba
 
mahali yake ntapokea 🤣🤣🤣
Hawa Utopolo ni wanjinga sana mkuu, tena hasa hiki kipindi ambacho Simba Sc inafanya vizuri CAFCC ndo wamechanganyikiwa kabisa, team yao inaongoza ligi ila sio habari ya kushitua kabisa, sijui kwa nini tu?
 
Hahahaha kubeti nako bado ni story ya kushangaza hapa mjini?

Stress nizitoe wapi ikiwa tangu nazaliwa mpaka leo na ukubwa wangu sijui kitu kinachoitwa SHIDA ? (Namshukuru kwa hili)

Nyinyi masikini (mafukara) ndo mnaokuwa na stress.
We jamaa unanitafutia ban tu.
 
Mkuu siku hizi kuna google translate kwahiyo kama hoja yako ya kuamini ni kwasababu ya lugha basi umechemka. Google translate unaweza kukufanya uandike lugha uitakayo. the muter désolé de ne pas savoir, je ne suis pas français mais qu'est-ce que vos yeux ont vu? Umeona hapo mimi nimeandika kwa kifaransa.

Hoja zangu kwanini ni fake

1) account imetengengezwa mara tu baada ya mechi ya USGN vs simba
2) Victorien Adebayor ni mchezaji ambaye hawezi kushindwa account yake ikawa verified kwa blue tick.
Muwekee na Kichina na Kiarabu azidi kuamini.
 
Acha wivu maisha yenyewe mafupi haya

Back
Top Bottom