Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kuna siku ntakuoa wewe, naona unanifatilia sana.Huyo jamaa hajui utani wa jadi, yeye ni matusi na dharau anajiona mkamilifu sana..,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku ntakuoa wewe, naona unanifatilia sana.Huyo jamaa hajui utani wa jadi, yeye ni matusi na dharau anajiona mkamilifu sana..,
😂😂😂😂😂Kimjaacho mtu ndicho kimtokacho.
Nadhani umenielewa, mkuu, kuhusu watu wa dizaini hizi.
mahali yake ntapokea 🤣🤣🤣Kuna siku ntakuoa wewe, naona unanifatilia sana.
Mashabiki wa simba ni mazuzu na washambaWatanzania tunaongoza kwa ushamba na ujinga mwingi sana.
Hawachukui muda wao kufatilia account kama ni official ya mchezaji husika watu wanakurupuka tu.
Account rasmi ya mchezaji huwa haianzi baada ya tukio fulani bali huwa inakwepo tokea kipindi kirefu. Ukiangalia hiyo account ambayo imeingiza watu kingi ni kwamba imeanza kuposti kwa mara ya kwanza tarehe 22 mwezi wa pili.
Mechi ya USGN vs Simba ilifanyika tarehe 20 mwezi wa pili. Hivyo ni mtu tu kajifungulia account baada ya mechi ya Simba kucheza na USGN kule Niger na Adebayor ndio kuonekana mtu aliyeimbwa sans Ni account fake ni Adebayor wa michongo
Hawa Utopolo ni wanjinga sana mkuu, tena hasa hiki kipindi ambacho Simba Sc inafanya vizuri CAFCC ndo wamechanganyikiwa kabisa, team yao inaongoza ligi ila sio habari ya kushitua kabisa, sijui kwa nini tu?mahali yake ntapokea 🤣🤣🤣
We jamaa unanitafutia ban tu.Hahahaha kubeti nako bado ni story ya kushangaza hapa mjini?
Stress nizitoe wapi ikiwa tangu nazaliwa mpaka leo na ukubwa wangu sijui kitu kinachoitwa SHIDA ? (Namshukuru kwa hili)
Nyinyi masikini (mafukara) ndo mnaokuwa na stress.
Sasa kupigwa kwako ban kunanihusu nini mimi?We jamaa unanitafutia ban tu.
Yale mapaka yenu meusi ni ya Mungu?Ni mpumbavu pekee atakayeamini uchawi unafanya kazi kwenye mpira. Pole sana mpumbavu.
Fala wewe na-kublockSasa kupigwa kwako ban kunanihusu nini mimi?
ngumu kumezaHuyo hatuumizi kichwa anafika tu Tanzania anarogwa na Boko anakaa nje msimu mzma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chikwende chezea Boko weweNikikumbuka yule jamaa ambaye alicheza mechi 1 tu afu hadi leo hajulikani alipo
Uto mmesahau suprise yenu ya chiko ushindi vipi hadi sahivi kafanya niniChikwende chezea Boko wewe
Muwekee na Kichina na Kiarabu azidi kuamini.Mkuu siku hizi kuna google translate kwahiyo kama hoja yako ya kuamini ni kwasababu ya lugha basi umechemka. Google translate unaweza kukufanya uandike lugha uitakayo. the muter désolé de ne pas savoir, je ne suis pas français mais qu'est-ce que vos yeux ont vu? Umeona hapo mimi nimeandika kwa kifaransa.
Hoja zangu kwanini ni fake
1) account imetengengezwa mara tu baada ya mechi ya USGN vs simba
2) Victorien Adebayor ni mchezaji ambaye hawezi kushindwa account yake ikawa verified kwa blue tick.
Kuna faida gani ninayopata kwako??Fala wewe na-kublock
Ligi hii kuna mchezaji mwenye pancha kama AUCHO?? Vipi ile suprise ya Chico Ushindi?😂Chikwende chezea Boko wewe
Watanzania tunaongoza kwa ushamba na ujinga mwingi sana.
Hawachukui muda wao kufatilia account kama ni official ya mchezaji husika watu wanakurupuka tu.
Account rasmi ya mchezaji huwa haianzi baada ya tukio fulani bali huwa inakwepo tokea kipindi kirefu. Ukiangalia hiyo account ambayo imeingiza watu kingi ni kwamba imeanza kuposti kwa mara ya kwanza tarehe 22 mwezi wa pili.
Mechi ya USGN vs Simba ilifanyika tarehe 20 mwezi wa pili. Hivyo ni mtu tu kajifungulia account baada ya mechi ya Simba kucheza na USGN kule Niger na Adebayor ndio kuonekana mtu aliyeimbwa sans Ni account fake ni Adebayor wa michongo
Huyo Mange anapoteza watu kwa pesa zao wenyewe ,eti mtu analipia umbea [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana Mange anapiga hela kwa habari za ajabuajabu..Watanzania wengi ujinga ni mwingi sana.