Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,874
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]fwala kabisa weweKakija geto we wekaga nyimbo za ally kiba na lavalava hakatoki
Na hua hawakosi nyimbo za Chris brown na Rihanna
Sasa mwambie aimbe ucheke
Status zao za wsp hua ni
1 kupenda ndio kitu najuaga
2 tamu yake yule boe(kauwa ndege wawili kwa jewellery moja)
3 mamake mtyu
4 mana JUNIOR wa kesho
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
ishawahi ona utamkwaji na uandikaji majina ya Watoto wao
kendriki lamaa
Cayla
Jenki
Na sio mda utaskia nasrini nabi
Kwanini?Kiukweli hata dem awemkali vip akiniambia tu yupo chuo yaan ni shwaaa hanioni tena hata kama nimetoka kumtongoza leo siwez date na mdada wachuo sa sibora mniuwe tu
We ndo mwanaume sasa, siyo dume zima linaanza kulia lia kubembeleza upumbavu.Miaka 18 mpaka 25 dhamani yake kwenye somo la kudate ni kubwa Sana hii ndyo peak
Miaka 26 mpaka 30 Dhamani inaanza kushuka mdogo mdogo
Kwahiyo waacheni waringe tu
Kwa mwanaume
Miaka 25 mpaka 40plus
Dhamani ni kubwa au inaanza kupanda na haishukii.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28] unafala sana weeeKua na amani yako hata naweza kuivaa kama barakoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimechekaaa hadi machozii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe mapazia yako mbna husemiii???
Khaa utakuwa unaogopa kiingereza cha chuo [emoji28][emoji28][emoji28]Kiukweli hata dem awemkali vip akiniambia tu yupo chuo yaan ni shwaaa hanioni tena hata kama nimetoka kumtongoza leo siwez date na mdada wachuo sa sibora mniuwe tu
π₯π₯π₯π₯ππ»DP World
Kwa sababu yako baby π€©[emoji28][emoji28] unafala sana weee
Kibegi kaa ngumi sasa sijui wanaweka kitu gani πNa kabegi kasiko na kitu mgongoni
Siku hizi wanavaa tusendo twa upele mkubwa mkubwa hivi[emoji23]Havinaga akili na tusendo twao twa manyoya....
π π πKibegi kaa ngumi sasa sijui wanaweka kitu gani π
Yale yapo kama yebo yebo sio π ila wanawake wanapenda vitu vya ajabu ajabu aiseeSiku hizi wanavaa tusendo twa upele mkubwa mkubwa hivi[emoji23]
Kipi uwongo apoππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787]fwala kabisa wewe
Hakuna wadada rahisi kama wa chuo,lakini uwe makini kujichotea maradhi ni kugusa.mwanamke anakuwa ashapevuka kiakiri akiwa na miaka 22+ lakini wakati huu ndo anakuwa the most wanted na wanaume ,hivyo kumake choice inampa wakati mgumu sana hivyo mwenye kisu kikali ndo hula nyamaKibegi kaa ngumi sasa sijui wanaweka kitu gani [emoji1]
Kitana,mafuta,poda,kioo na buku mbili ya nauli [emoji28][emoji28]Kibegi kaa ngumi sasa sijui wanaweka kitu gani [emoji1]
Wanaume mnajua kujipa moyoMiaka 18 mpaka 25 dhamani yake kwenye somo la kudate ni kubwa Sana hii ndyo peak
Miaka 26 mpaka 30 Dhamani inaanza kushuka mdogo mdogo
Kwahiyo waacheni waringe tu
Kwa mwanaume
Miaka 25 mpaka 40plus
Dhamani ni kubwa au inaanza kupanda na haishukii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmetisha sana π»πKitana,mafuta,poda,kioo na buku mbili ya nauli [emoji28][emoji28]
Sanaa...utafikiri wamaweza kuishi wenyewe duniani wakati bila sisi hawatoboi [emoji28]Wanaume mnajua kujipa moyo
AiseeHabari za humu.
Mi navichora tu, vikifika 35+ ndo vinaanza kutia tia huruma, maana vitakuwa vinatafuta mume bila mafanikio.
Kitoto unakitongoza hakitaki, kila ukikapigia simu, kanalalamika mara nina njaa, mara sina bando, unakatoa out siku zingine kanakuja, siku zingine hajaji(na pesa ninayotumia ni yangu)
Sasa nimekaita out hivi karibuni, kakadai muda umeenda, nikakaambia basi kesho, kasema sawa. Kesho kakanigeuka, kakatoa udhuru ghafla.
Jioni kakapiga simu, kanalalamika huko alikotaka aende (ktk udhuru) wenzake hawajatokea so kakabaki pekeyake, kakasema kananjaa, hakajala tangu mchana, nikakaambia kakajinunulie chakula kale. Mara kakasema kanatamani kutoka, nikakaambia katoke na rafiki zake walio karibu, kakasema hawapo, kako pekeyake, nikasema awasubiri wakirudi, hata kesho ili akatoke nao out.
Leo kananibipu, sijakapigia. Yaani mpaka siku kale hela yangu, ni hadi niichakate mbususu yake kimasihara ndo nikape hela. Na hakatapigiwa pigiwa simu tena kama zamani, hawa watu ukionyesha unawahitaji sana, watakutesa.
Lakini wenye age ya 25+ hata hawasumbui, utaichakata hadi uchoke mwenyewe.
π€£π€£Punguza kisirani Dogoo,,,kwa jinsi ulivyomjibu huyo demu,,, inaonekana na wewe ndio walewale kijana ambae ni chekibobu fulani hivi!!!