Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.


Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.

Msikilize mama hapa πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.


 
Bila kupiga kelele walikuwa wamejikausha! IGP alikuwa anafaham ila kwakuwa amezoea kuua basi akaona kawaida!

Kiukweli angepumzika tu maana zama za aina yake na matukio yaliyofanywa na Polisi awamu ya 5 ni maisha tofauti na awamu ya 6! kwa hiyo ajiongeze maana mama anataman aweke timu yake kama Mwendazake alivyoweka! SIRRO angestaafu kwa heshima tu

Mama aliachia mpaka ushahidi wa polisi kesi ya mbowe usikike mbele ya watanzania wote, aibu ile haiwezi jificha! mama kila akiwaona polisi anakereka!

Sirro apate wasaa akae na mama amuombe amsamehe mahali alipomkwaza aombe apumzike! mama muungwana sana maana mama ni mama
 
Jana chui jike nae alisema akiwalalamikia police wanamjibu tu kuwa mbona hana imani na vyombo vyake vya usalama,Takukuru nao wakisemwa wananuna.
Nchi ngumu sana hii.
πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…