ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Acheni kuchonganisha watu bana......
mnata kuipump kama ya Nduga
mnata kuipump kama ya Nduga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hiyo Video imetengenezwa ili kumchonganisha Rais na IGPAcheni kuchonganisha watu bana......
mnata kuipump kama ya Nduga
Mama anambeba sana huyu....
Sasa nimeamini nchi hiii ngumu mno.Anajibu hapa.....
View attachment 2160529
Umeongea kinyume chake na ni sawa kwa sababu zaidi ya asilimia 99 ya Watanzania wana tatizo la utapiamlo wa akili.Aliebebwa sana ni Mama kwa sababu amewekwa madarakani na jeshi la polisi badala ya wananchi.Mama anambeba sana huyu....
Dah.. Hiyo aya ya mwisho imebeba ujumbe mzito sana!CCM bila ya nguvu ya Polisi sijui itakuwaje? IGP hawezi mjibu Amiri Jeshi Mkuu hata siku moja. Anatoa maoni yake kuwapelekea ujumbe wale waliotoa maoni yao ndani ya kikao cha CCM kuhusu Polisi na yakatangazwa na Mwenezi wa CCM hadharani. Haikuwa njia nzuri sana ya kuwa adress wadau muhimu kwa CCM kama Polisi.
Na IGP kasema wazi usishambulie Polisi kama Polisi. Lakini waweza kumshambulia IGP utakavyo maana yeye ni rahisi tu ukiamua unamyanganya nafasi hiyo unaweka mtu wako mwengine unaye endana naye. Lakini ukilishambulia jeshi zima kwa sababu tu ya IGP ni hatari kubwa. Na ndio ukweli wenyewe maana philosophy ya vita kwa majeshi yote ni hii, an injury to one is an injury to all.
Samahani kiongozi kwani kikatiba nani mkubwa kati yao hao? Tuanzie hapo kwanzaHujui hao ndio walikua maengineer wa uchafuzi mkuu na mchango wa 100% CCM kurudi madarakani 2020?
Hapo hatofanywa chochote hao ni matawi tu tofauti kwenye mti mmoja.
Katiba ipi unayozungumzia hii hii ya mtu kusema anajua wamejiajiri kwa miaka 9 ya kuendelea kuwepo madarakani?Samahani kiongozi kwani kikatiba nani mkubwa kati yao hao? Tuanzie hapo kwanza
View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533