Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Dah.. Hiyo aya ya mwisho imebeba ujumbe mzito sana!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ukumbuke kwenye kitu kama uchaguzi mkuu polisi ni daraja muhimu sana kuhakikisha ulinzi na usalama wa Raia na kura zenyewe hata kwa majeshi mengine.
Tukumbushane tu yale ya kipindi kile hapo Ubungo ya Mh Nyika.
Polisi walipoamua kuwasaidia Raia kutumia maji ya gari lao la washawasha kunawa nyuso zao wakisubiri Mh Nyika atangazwe kuwa mshindi wa kiti hicho.