Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikaanawajibu wote wanaodhani kuunda tume ndo kuondoa crimes
Wazazimbari si wa kuamini muda woowte wanakuchoma, nimeyashuhudia sana katika kazi zetu hiziJana chui jike nae alisema akiwalalamikia police wanamjibu tu kuwa mbona hana imani na vyombo vyake vya usalama,Takukuru nao wakisemwa wananuna.
Nchi ngumu sana hii.
Tena anacheka kwa kejeli😂😂kwenye video Sirro anasikika akicheka,kwa hiyo anamcheka mama?
Kwani Rais hana mamlaka ya kumfuta Kazi IGP?View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533
Wapi ulishawahi ona Mwanamme kutoka kanda ya ziwa akiyumbishwa na mwanamke? Hapa ni bora busara itumike mama ajifunze kuwaheshimu wakuuu wa vyombo vya ulinzi na usalama maana ndio wamemuweka hapo.Hapo Siro ameamua kukomaa, kama noma iwe noma, Siro ni kama anasema hatoki mtu hapa. Siro sio Ndugai, Samia safari hii ajipange haswaa.
Hao Takukuru ndio rubbish kabisa,ila sasa Maza alitaka mambo yawe simple anatakiwa alete mabadiliko ya sheria kuongeza uwajibikaji zaidi wa polisi au la Katiba mpya kabisa.Jana chui jike nae alisema akiwalalamikia police wanamjibu tu kuwa mbona hana imani na vyombo vyake vya usalama,Takukuru nao wakisemwa wananuna.
Nchi ngumu sana hii.
Anambeba wa nini hasa? Kumuacha ni kupandikiza mbegu mbaya.Mama anambeba sana huyu....
Polisi kukosolewa sio kukosa Imani na Polisi na hii haijaanza na Samia.I agree
Lakini muda mwingine tutenganishe siasa na changamoto za maisha ya kila siku.
Imani na jeshi la polisi ni kitu muhimu sana katika kupambana na uhalifu, ni kukosa imani na polisi ndio kilichopelekea kijana aliechukuliwa mbele ya mashahidi luluki halafu wote waamue kubaki kimya; na ingebaki ivyo kama baba yake mzazi asingepaza sauti.
Ni kitu gani kilichowaogopesha vijana wote aliokuwa nao marehemu bar siku anakuja kubebwa na polisi waogope kupaza sauti baada ya kuto muona siku kadhaa.
Sasa mambo kama haya embu tutenge kidogo siasa nakujiuliza ni namna gani tunaweza toa habari kama hizi bila ya woga huko juu waanze kufuatilia; katika harakati za kuboresha ujirani mwema na hii taasisi maana ni muhimu katika maisha yetu wao wakiwa kama walinzi wa mali na maisha kwenye jamii.
Mkuu ni sawa na wewe ukaombe ushauri kuhusu matatizo ya mkeo kwenye ndoa yenu kwa kijana fulani kisha akujibu simple tu,fukuza mke huyo asikusumbue.Kwani Rais hana mamlaka ya kumfuta Kazi IGP?
It is clear kama Rais haelewani na IGP unamfuta Kazi tuu Ili mambo yaende badala ya kufanya drama tuu.
Moja kwa moja IGP anamjibu Madam na hiyo jeuri anaitoa wapi?
Unfortunately mama nae akiwa kwenye mudi ya hasira hana break si unawajua wanawake walivyo?
Kwamba IGP anatakiwa asijibu kwakua aliyeongea ni SHH? Yuko sawa tu, anapoona kuna namna anataka kupelekewa jumba bovu ni lazima aseme.IGP hovyo sana...
Na hii ni mara ya pili anamjibu kwa character Rais
Kuna kukosoa na kusimanga.Polisi kukosolewa sio kukosa Imani na Polisi na hii haijaanza na Samia.
View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533
Sure,sirro anatakisa apumzike ila sio kwa mipasho.Kwamba IGP anatakiwa asijibu kwakua aliyeongea ni SHH? Yuko sawa tu, anapoona kuna namna anataka kupelekewa jumba bovu ni lazima aseme.
Halafu kwanini hamtaki kukubali kuwa mna Rais dhaifu sana, ambaye hajitoshelezi?
Watu bado hawaelewi hili, Samia yupo hapo kwa roho nzuri walizoonyesha wakuu wa ulinzi wakati ule wa msiba.Umeongea kinyume chake na ni sawa kwa sababu zaidi ya asilimia 99 ya Watanzania wana tatizo la utapiamlo wa akili.Aliebebwa sana ni Mama kwa sababu amewekwa madarakani na jeshi la polisi badala ya wananchi.
Rais aliewekwa madarakani na jeshi la polisi hawezi kuheshimiwa na jeshi hilo na pia hawezi kuliwajibisha jeshi hilo kwa lolote lile na ndiyo maana Samia anabakia tu kulialia bila ya kuchukua hatua yoyote.
View attachment 2160574View attachment 2160575View attachment 2160576
Soma post yote taratibu mimi sijajikita sana kwenye siasa bali alichoongea Sirro mwenyewe.Polisi kukosolewa sio kukosa Imani na Polisi na hii haijaanza na Samia.
Mkuu una maslahi na Siro.Kwa hiyo anachofa Siro ni sahihi?Mkuu ni sawa na wewe ukaombe ushauri kuhusu matatizo ya mkeo kwenye ndoa yenu kwa kijana fulani kisha akujibu simple tu,fukuza mke huyo asikusumbue.
Utagundua hajui vingi kuhusu ndoa.
IGP sio beki tatu kwamba humtaki unampa nauli,unaweza fukuza 7 ndani ya wiki,ukija shtuka ni mgomo baridi,tayari polisi wote hawakutaki.
Utasimamiwa na baba yako wa ubatizo ushinde uchaguzi😄😄