Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raisi yupo bize kuchambana kuliko Kazi nchi hatuelewik tunaenda wapKwamba IGP anatakiwa asijibu kwakua aliyeongea ni SHH? Yuko sawa tu, anapoona kuna namna anataka kupelekewa jumba bovu ni lazima aseme.
Halafu kwanini hamtaki kukubali kuwa mna Rais dhaifu sana, ambaye hajitoshelezi?
Polisi kukosolewa sio kukosa Imani na Polisi na hii haijaanza na Samia.
Huku ni kuviziana. Ila kamanda ni kama anataka kutolewa, yani hataki kutoka mwenyewe.View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533
Kukosoa hakuwezi kuwa kule ambako wewe unapenda,so no excuse.Ni namna gani ya kuwakosoa ndipo tatizo lilipo hapo? CCM ni kama inakosa ueledi flani. Haiwezekani CCM yenye serikali itumie njia ya CDM kukosoa Polisi au vyombo vingine vya dola. Hata ingekuwa CDM ndio chama tawala kisinge fanya hivyo kamwe. Wao CCM walitakiwa walishuhulikie tatizo hilo la polisi kimifumo iliyoko sio kutoka hadharani kupayuka, ili umfurahishe nani hasa wakati wananchi walio wengi wanajua the reality. Unaita press kukosoa Polisi ambao wewe ndiye mwenye serikali iliyo na mamlaka juu ya Polisi.
CCM kama chama tawala wana a symbiotic relationship ya kioungozi na Polisi kwa maana hiyo hiyo na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. Lazima hilo litunzwe pamoja na kuwa kweli Polisi wanayo mapungufu yao.Sasa huyo anayemjaza Mama upepo kuwa anajibiwa ni nami na kwa faida gani? Tujifunze kitu kwa Putin wa Urusi na kinachoendelea Ukraine.
Kukosoa hakuwezi kuwa kule ambako wewe unapenda,so no excuse.
Maza anafokewa....😎
Na Siro amesema nanukuu: "kama hauwezi kuamini chombo chako...." mwisho wa kunukuu...teh😂
Jana chui jike nae alisema akiwalalamikia police wanamjibu tu kuwa mbona hana imani na vyombo vyake vya usalama,Takukuru nao wakisemwa wananuna.
Nchi ngumu sana hii.
...Vyuma vimeumanaSwadakta......
Mwenye macho aambiwi tazama
Watanzania ni viumbe wa ajabu kwa uwezo wa kufikiri! Kwani ni institution ipi kati ya Polisi na CCM imemweka mwingine madarakani!?CCM bila ya nguvu ya Polisi sijui itakuwaje? IGP hawezi mjibu Amiri Jeshi Mkuu hata siku moja. Anatoa maoni yake kuwapelekea ujumbe wale waliotoa maoni yao ndani ya kikao cha CCM kuhusu Polisi na yakatangazwa na Mwenezi wa CCM hadharani. Haikuwa njia nzuri sana ya kuwa adress wadau muhimu kwa CCM kama Polisi.
Na IGP kasema wazi usishambulie Polisi kama Polisi. Lakini waweza kumshambulia IGP utakavyo maana yeye ni rahisi tu ukiamua unamnyanganya nafasi hiyo unaweka mtu wako mwengine unaye endana naye. Lakini ukilishambulia jeshi zima kwa sababu tu ya IGP ni hatari kubwa. Na ndio ukweli wenyewe maana philosophy ya vita kwa majeshi yote ni hii, an injury to one is an injury to all.
Ok... Asante kwa ufafanuzi Afande.CCM bila ya nguvu ya Polisi sijui itakuwaje? IGP hawezi mjibu Amiri Jeshi Mkuu hata siku moja. Anatoa maoni yake kuwapelekea ujumbe wale waliotoa maoni yao ndani ya kikao cha CCM kuhusu Polisi na yakatangazwa na Mwenezi wa CCM hadharani. Haikuwa njia nzuri sana ya kuwa adress wadau muhimu kwa CCM kama Polisi.
Na IGP kasema wazi usishambulie Polisi kama Polisi. Lakini waweza kumshambulia IGP utakavyo maana yeye ni rahisi tu ukiamua unamnyanganya nafasi hiyo unaweka mtu wako mwengine unaye endana naye. Lakini ukilishambulia jeshi zima kwa sababu tu ya IGP ni hatari kubwa. Na ndio ukweli wenyewe maana philosophy ya vita kwa majeshi yote ni hii, an injury to one is an injury to all.
Watanzania ni viumbe wa ajabu kwa uwezo wa kufikiri! Kwani ni institution ipi kati ya Polisi na CCM imemweka mwingine madarakani!?
Anatoa maoni yake kuwapelekea ujumbe wale waliotoa maoni yao ndani ya kikao cha CCM kuhusu Polisi na yakatangazwa na Mwenezi wa CCM hadharani. Haikuwa njia nzuri sana ya kuwa adress wadau muhimu kwa CCM kama Polisi.
Kasemaje wengine tunatumia simu ndogoView attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa [emoji116]
View attachment 2160533
Hawajui askari huyo..hata issue ya mbowe kuachiwa imewaudhi baadhi.wanasema boss wao ni kama amedhalilishwa vile.Mama aendee Kwa step wanaweza kuzira kufanya naye Kazi ikawa shuuli kwel
Siro atolewe tuuu.Maza anafokewa....😎
Na Siro amesema nanukuu: "kama hauwezi kuamini chombo chako...." mwisho wa kunukuu...teh😂