Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Imeisha hiyoo
Akili zako kamasi. Kapime utakuja kunambiaSasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Acha usengeSasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Sasa hasira za nini? 😂Akili zako kamasi. Kapime utakuja kunambia
Punguza hasira jombiiAcha usenge
😂😂 Tatizo umeongea pumbaPunguza hasira jombii
Shida yenu mnaongozwa na makasiriko kwanza. Kusema aliyevaa medali ya CAF ni pumba au mnahisi kufika huko ni kwa kila mtu? 😂😂😂😂 Tatizo umeongea pumba
Machozi ya mamba? AA ni yanga piwa.
nani mtaje..?Sio yeye pekee, sijawahi ona chozi la mtu fulani, na sikuwahi waza km na yeye huwa anatoa chozi apitiapo magumu.
Ila leo nimeshuhudia kwa macho yangu mawili anafuta na lesso kabisa.
Nyiee watu hatuaminii, 😢😢😢😢
Mfano Simba imgeshinda uarabuni unadhani angefurahi hivi?Sasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake