VIDEO: Ahmed Ally amwaga chozi baada ya Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

VIDEO: Ahmed Ally amwaga chozi baada ya Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

Mnatuchanganya jamani ni Mungu au ni Yakuz yavuz😂😂😂😂

Poor Brain
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wewe siku hizi una nini lakini....

Daaah YAKUZ AU YAVUZ SIMBA YAVUZ SIMBA YAVUZ
 
 
Kwahiyo umekubali tulishinda ila kilichokuja kuamua mshindi ni kanuni ya goli la ugenini ndio maana wakakabidhiwa kombe. Yan umebadilisha mada kutoka kwenye kufungwa mpaka ukaja kwenye kukabidhiwa kombe.

Haichukui nafasi ya daktari kumtambua mjinga ni nani!
Endelea na upumbavu wako. Ila daima itasemwa "mwaka 2023 USM Alger alitwaa Ubingwa wa Confederation Cup kwa kumfunga Yanga" . Kwamba alimfunga kwa penalti au magoli ya ugenini, hiyo hakuna atakayetaka kujishughulisha nalo kwani halisaidii chochote. Endelea kujifariji kuwa ulimfunga USM"
 
Back
Top Bottom