VIDEO: Ahmed Ally amwaga chozi baada ya Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

VIDEO: Ahmed Ally amwaga chozi baada ya Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

Aliyevaa medali ni yule aliyechukua Ubingwa. Ambaye hakuchukua ubingwa yeye alivaa shanga tu. Hakuna ufahari kwenye kufungwa.
Umesahau kama tulishinda kwenye uwanja wao wakiwa wanapiga na mabomu kabisa. Sasa wewe hata rekodi ya kushinda mechi ya fainali unayo?
 

Attachments

  • Screenshot_20250410_090634_Instagram.jpg
    Screenshot_20250410_090634_Instagram.jpg
    250 KB · Views: 12
Mavi ya kale hayanuki. Hutakuja kusikia sisi tukitambia kuwabangua hizi goli 9 bila majibu kwa sababu hapa kati tumeshafungana sana. Hata kabla hatujawapiga 5 hata sisi tulishawahi wapiga 6 inazungumzwa tano kwa sababu ni ya juzi juzi.

Haichukui nafasi ya daktari kuelewa hili mbumbumbu
Unaota utopolo wewe. Ndivyo mnavyodanganya matopeni. Kweli akili hakuna
 
Anabubu-ji-kwa na machozi kama Luca au huyu jamaa ndie Lucas!?
 
Umesahau kama tulishinda kwenye uwanja wao wakiwa wanapiga na mabomu kabisa. Sasa wewe hata rekodi ya kushinda mechi ya fainali unayo?
Wao hawakushinda kwenye uwanja wako!? Sasa mbona hukurudi na Kombe Tz!?
 
Umesahau kama tulishinda kwenye uwanja wao wakiwa wanapiga na mabomu kabisa. Sasa wewe hata rekodi ya kushinda mechi ya fainali unayo?
Ila utopolo wengi wenu mna mtindio wa ubongo. Kwamba mliwafunga kwao ? Je, wenyewe huku hawakuwafilimba 2 ?
 
Wao hawakushinda kwenye uwanja wako!? Sasa mbona hukurudi na Kombe Tz!?
Umesema hakuna ufahari kwenye kufungwa namimi nikakukumbusha tulishinda kwao mechi ya fainali.

Unasahau ambacho wewe mwenyewe umekisema.
 
Ila utopolo wengi wenu mna mtindio wa ubongo. Kwamba mliwafunga kwao ? Je, wenyewe huku hawakuwafilimba 2 ?
Huyu Mbumbumbu mwenzako ndio aliyeanza kwa kusema hakuna ufahari kwenye kufungwa nikamkumbusha MC Algers alinifunga nyumbani na mimi nikamfunga kwake mechi ya fainali.

Fuatilia maongezi yetu usidandie juu utakosea shimo. Ooohoo
 
Umesema hakuna ufahari kwenye kufungwa namimi nikakukumbusha tulishindwa kwao mechi ya fainali.

Unasahau ambacho wewe mwenyewe umekisema.
Acha ujinga wewe. Aliyechukua Ubingwa ndiye mshindi. Wewe hiyo kudai uliwafunga, uliwafunga vipi kwenye mechi ambayo inaamuliwa na jumla ya matokeo ya nyumbani na ugenini!? Eti ulishinda kwao mechi ya fainali, halafu ikawaje hukukabidhiwa kombe!?
 
Sasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?

Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Yule alizimia kwenda robo, akazindukia hospital ya tmk
 
Dah!! Kuingia nusu mtu anamwaga machozi kisado, sasa akibahatika kufika fainal na kuvaa medal itakuaje!!
Kuna mwingine aliingia robo akazimia, kama si madaktari wa tmk tungekuwa tunaandika mengine sasahivi.
 
Acha ujinga wewe. Aliyechukua Ubingwa ndiye mshindi. Wewe hiyo kudai uliwafunga, uliwafunga vipi kwenye mechi ambayo inaamuliwa na jumla ya matokeo ya nyumbani na ugenini!? Eti ulishinda kwao mechi ya fainali, halafu ikawaje hukukabidhiwa kombe!?
Kwahiyo umekubali tulishinda ila kilichokuja kuamua mshindi ni kanuni ya goli la ugenini ndio maana wakakabidhiwa kombe. Yan umebadilisha mada kutoka kwenye kufungwa mpaka ukaja kwenye kukabidhiwa kombe.

Haichukui nafasi ya daktari kumtambua mjinga ni nani!
 
Hapo kibarua chake kimeokolewa na ushindi. Ilikuwa anapigwa chini lazma alie kwa furaha
 
Back
Top Bottom