dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,190
- 4,314
1993 simba walifika fainali ambayo ni historia kwa tanzania hivyo acheni roho mbaya..Sasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Hawa si wajinga tu hawana akili achana nao.1993 simba walifika fainali ambayo ni historia kwa tanzania hivyo acheni roho mbaya..
Na ndio maana Utopolo hadi leo anashangilia goli 5 wakati Simba keshampiga goli 5 mara mbili na goli 6 mara moja. Y6nga ni Utopolo kwelikweli.Sasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Kwa ufupi maana yake kipofu kaona mwezi.Sasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Wavaa rozari hawajapita njia anayopitia mnyamaSasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Dah!! Kuingia nusu mtu anamwaga machozi kisado, sasa akibahatika kufika fainal na kuvaa medal itakuaje!!
Mavi ya kale hayanuki. Hutakuja kusikia sisi tukitambia kuwabangua hizi goli 9 bila majibu kwa sababu hapa kati tumeshafungana sana. Hata kabla hatujawapiga 5 hata sisi tulishawahi wapiga 6 inazungumzwa tano kwa sababu ni ya juzi juzi.Hawa si wajinga tu hawana akili achana nao.
Huwa wanajitoa ufahamu.
Mfano Yanga alishapigwa goli 5 ma Simba mara mbili, lakini wameshupalia hiyo mara moja tu
Na pia Yanga alishapigwa goli 6 bila majibu. Lakini ukiwaona wanavyoshangilia goli 5 utadhani machizi. Y6nga ni Utopolo kweli.
Endelea kuota. CAF finals sio matako yale kwamba kila mtu anayo. Picha kama hizi upande wenu imekua ngumu sana kuzinasa.Na ndio maana Utopolo hadi leo anashangilia goli 5 wakati Simba keshampiga goli 5 mara mbili na goli 6 mara moja. Y6nga ni Utopolo kwelikweli.
Simba keshavaa medali za kombe la washindi enzi hizo akivalishwa na rais Mwinyi enzi hizo.
Basi subirini mwaka huu chaka la fainali lifyekwe
EwaaaahππKwa ufupi maana yake kipofu kaona mwezi.
Mnyama kapita njia gani iliyo ngumu? Hawa Al Masry wanatofauti gani na Tabora au Singida BS? Cs Faxien, Constantine kwamba hao wote ni wagumu?Wavaa rozari hawajapita njia anayopitia mnyama
Simba alishavaa medali za CAF kwenye haya mashindano, labda ulikuwa hujazaliwa.Sasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Kuhusu tabora United waulize yanga.Mnyama kapita njia gani iliyo ngumu? Hawa Al Masry wanatofauti gani na Tabora au Singida BS? Cs Faxien, Constantine kwamba hao wote ni wagumu?
Yanga siyo level ya Tabora United wala simba. Yanga level zake ni Mamelodi Sundowns.Kuhusu tabora United waulize yanga.
Mnyama kapita njia gani iliyo ngumu? Hawa Al Masry wanatofauti gani na Tabora au Singida BS? Cs Faxien, Constantine kwamba hao wote ni wagumu?
Yanga siyo level ya Tabora United wala simba. Yanga level zake ni Mamelodi Sundowns.
Hii nchi ina changamoto kubwa ya ugonjwa wa afya ya akili, huyu huyu na wanasimba wenzake walikuwa wanaiponda yanga kwa kufika fainali ya hilo kombe huku wakikebehi kuwa ni kombe la ma looserππππ
π Kumbe hujui hata ulichoongea.Shida yenu mnaongozwa na makasiriko kwanza. Kusema aliyevaa medali ya CAF ni pumba au mnahisi kufika huko ni kwa kila mtu? ππ
Wewe umeongea nini?π Kumbe hujui hata ulichoongea.