Aliyevaa medali ni yule aliyechukua Ubingwa. Ambaye hakuchukua ubingwa yeye alivaa shanga tu. Hakuna ufahari kwenye kufungwa.Sasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Umesahau kama tulishinda kwenye uwanja wao wakiwa wanapiga na mabomu kabisa. Sasa wewe hata rekodi ya kushinda mechi ya fainali unayo?Aliyevaa medali ni yule aliyechukua Ubingwa. Ambaye hakuchukua ubingwa yeye alivaa shanga tu. Hakuna ufahari kwenye kufungwa.
Utopolo kama utopoloEndelea kuota. CAF finals sio matako yale kwamba kila mtu anayo. Picha kama hizi upande wenu imekua ngumu sana kuzinasa.
Unaota utopolo wewe. Ndivyo mnavyodanganya matopeni. Kweli akili hakunaMavi ya kale hayanuki. Hutakuja kusikia sisi tukitambia kuwabangua hizi goli 9 bila majibu kwa sababu hapa kati tumeshafungana sana. Hata kabla hatujawapiga 5 hata sisi tulishawahi wapiga 6 inazungumzwa tano kwa sababu ni ya juzi juzi.
Haichukui nafasi ya daktari kuelewa hili mbumbumbu
Kuna kitu alibet sio bure........
Zako za kinyesiAkili zako kamasi. Kapime utakuja kunambia
Wao hawakushinda kwenye uwanja wako!? Sasa mbona hukurudi na Kombe Tz!?Umesahau kama tulishinda kwenye uwanja wao wakiwa wanapiga na mabomu kabisa. Sasa wewe hata rekodi ya kushinda mechi ya fainali unayo?
Ila utopolo wengi wenu mna mtindio wa ubongo. Kwamba mliwafunga kwao ? Je, wenyewe huku hawakuwafilimba 2 ?Umesahau kama tulishinda kwenye uwanja wao wakiwa wanapiga na mabomu kabisa. Sasa wewe hata rekodi ya kushinda mechi ya fainali unayo?
Umesema hakuna ufahari kwenye kufungwa namimi nikakukumbusha tulishinda kwao mechi ya fainali.Wao hawakushinda kwenye uwanja wako!? Sasa mbona hukurudi na Kombe Tz!?
Huyu Mbumbumbu mwenzako ndio aliyeanza kwa kusema hakuna ufahari kwenye kufungwa nikamkumbusha MC Algers alinifunga nyumbani na mimi nikamfunga kwake mechi ya fainali.Ila utopolo wengi wenu mna mtindio wa ubongo. Kwamba mliwafunga kwao ? Je, wenyewe huku hawakuwafilimba 2 ?
Amepambana sana Mwamba
Kapambana na nani ?Mwamba kapambana sana. Sanaa
HamasaKapambana na nani ?
Acha ujinga wewe. Aliyechukua Ubingwa ndiye mshindi. Wewe hiyo kudai uliwafunga, uliwafunga vipi kwenye mechi ambayo inaamuliwa na jumla ya matokeo ya nyumbani na ugenini!? Eti ulishinda kwao mechi ya fainali, halafu ikawaje hukukabidhiwa kombe!?Umesema hakuna ufahari kwenye kufungwa namimi nikakukumbusha tulishindwa kwao mechi ya fainali.
Unasahau ambacho wewe mwenyewe umekisema.
Komwee em tulia kulee, Lolnani mtaje..?
Mamelod Sundowns ile ya pili Afrika kwa ubora au ni hiyo ya Chamazi?Yanga siyo level ya Tabora United wala simba. Yanga level zake ni Mamelodi Sundowns.
Yule alizimia kwenda robo, akazindukia hospital ya tmkSasa hiyo ni robo fainali kwenda nusu. Yule ambaye alifika mpaka fainali akavaa medali asemeje?
Anyways there is first time for everybody. Hongera kwake
Kuna mwingine aliingia robo akazimia, kama si madaktari wa tmk tungekuwa tunaandika mengine sasahivi.Dah!! Kuingia nusu mtu anamwaga machozi kisado, sasa akibahatika kufika fainal na kuvaa medal itakuaje!!
Kwahiyo umekubali tulishinda ila kilichokuja kuamua mshindi ni kanuni ya goli la ugenini ndio maana wakakabidhiwa kombe. Yan umebadilisha mada kutoka kwenye kufungwa mpaka ukaja kwenye kukabidhiwa kombe.Acha ujinga wewe. Aliyechukua Ubingwa ndiye mshindi. Wewe hiyo kudai uliwafunga, uliwafunga vipi kwenye mechi ambayo inaamuliwa na jumla ya matokeo ya nyumbani na ugenini!? Eti ulishinda kwao mechi ya fainali, halafu ikawaje hukukabidhiwa kombe!?