VIDEO: Ahmed Ally amwaga chozi baada ya Simba SC kufuzu Nusu Fainali CAF

Mnatuchanganya jamani ni Mungu au ni Yakuz yavuzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Poor Brain
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe siku hizi una nini lakini....

Daaah YAKUZ AU YAVUZ SIMBA YAVUZ SIMBA YAVUZ
 
Your browser is not able to display this video.
 
Endelea na upumbavu wako. Ila daima itasemwa "mwaka 2023 USM Alger alitwaa Ubingwa wa Confederation Cup kwa kumfunga Yanga" . Kwamba alimfunga kwa penalti au magoli ya ugenini, hiyo hakuna atakayetaka kujishughulisha nalo kwani halisaidii chochote. Endelea kujifariji kuwa ulimfunga USM"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…