Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

Listen before you thank me..

Simply Mama Salma ni mjinga, aliyekuwa na wazo la kijinga, akalipeleka kwa wajinga wenzie, wakalipitisha...

Sasa kwanini unamkingia kifua huyo chirf wa ujinga?!
Ukweli ile hoja ilikuwa ya kijinga, ikapelekwa kwa wajinga,wakaipitisha. Hilo genge ni watu wa hovyo sana. Ni kusanyiko la wanafiki, mafisi na mafisadi walafi hawako pale kuwakilishwa wananchi bali kujaza tu matumbo yao. Walaaniwe na vizazi vyao vyote.
 
Miss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto wengi zaidi ya asilimia 20 walibainika kutokwenda shule. Wawapo shuleni wanakosa chakula huku wakitumia muda wa zaidi ya masaa manne kwenda na manne kurejea majumbani kwao.

Binti huyu alishiriki kujenga shule na akajitolea kufundisha. Alijitolea chakula na malazi ikiwemo kuwanunua wanafunzi mavazi. Stori hii imerushwa live na inasambaa mitandaoni. Wanaojadili wanaona kama fedhea kwa watawala wetu huku watawala wakijinadi kwamba inatangaza utalii na kuitangaza nchi yetu.

Kwa maana nyingine watawala tatizo la watoto kukosa shule siyo big deal bali kwao wao wanaona kama video hii inatangaza utalii. Nimesoma comment ya waziri mmoja akisifia video ile akidai imesaidia wengi kuifahamu Tanzania.

Mimi nikawa na Mtizamo tofauti; nilipoona video hii nimejiuuliza Mama Salma Kikwete anakosa nini hadi achukue fedha za wananchi maskini ziwe zake na familia yake kupitia sheria mpya aliyopenyeza bungeni ya mafao ya wenza wa viongozi?

Hao wenza wa viongozi wana umaskini gani hadi wajione wao wanafaa kulipwa mabilioni ya kodi za umma for years huku wananchi wakikosa mlo mmoja?

Huyu binti Miss Worl hana pensheni lakini ana moyo wa Mungu na upendo. Huyu binti siyo Mtanzania ila ameonyesha kujali na kuthamini uhai wa watoto wetu. Huyu binti siyo mweusi bali ametambua kila binadamu anahitaji haki ya elimu na kuishi.

Natambua wenza walio wengi ni wanawake kuliko wanaume. Natambua waliopigania kulipwa mabilioni haya ni wanawake na siyo wanaume. Natambua wanawake wote waliopigania hii hoja wamezaliwa familia bora. Natambua wanawake hawa hawajawahi kuwaza wala kufikia kusaidia yeyote kwa fedha zao kama alivyofanya huyu binti. Wengi wao utumia fedha za umma kuzifanya mali yao na kutumia miradi ya umma kama fadhila kwa jamii.

Wanawake weusi jitafakarini, waume zenu walipopata madaraka walijilimbikiza mali za umma. Mwenyenzi Mungu akakasirika na sasa wakimaliza muda wa huduma wanachokiona mbele yao ni magonjwa na hivyo vile walivyochuma kwa dhulma vimeoza na kuishia kuwatibu kuliko kuvisaza.

Naona wanawake nao wameamua kujilimbikizia mali za maskini kwa msingi wa sheria. Wanawake viongozi wa Tanzania wamewakwa tamaa na nafsi zao zinawaza kuishi kwa anasa pale wenzao wao wanapoostaafu.

Amini Amin nawaambia......kwa kuwa pensheni hii italipwa mkiwa hai na ili msilipwe pensheni hii kwa muda mrefu na kunyonya maskini , Mwenyenzi Mungu anakwenda kuwapa maisha mafupi sana. Kisheria mtalipwa ila kiroho mtalipwa kwa muda mfupi sana.

Haiwezekani binti wa miaka 24 aje kwenye nchi yenye kila kitu akasaidie kulisha watoto wetu huku ninyi mkijilimbikizia mabilioni msiyoyafanyia kazi

Hongera miss world kwakuwainua wanetu.
Ile saa ya ''binti Kidawa'' ya sh milioni mia moja umeijumlisha kwenye list kweli?
 
Kiukweli inasikitisha ,yaani wakati wengine wana njaa kali wachachee WANAVIMBIRWA..

Sema lawama ziende kwa hao WATAWALA waliopokea hilo WAZO bovu kabisa,na wakalipitisha..UJINGA
Kwakweli WANAVIMBIRWA 😅😅😅 !
Duh 🙄 Nimecheka sana !!
 
Unazani mwenye shibe huwa anamkumbuka mwenye njaa? Mpaka uwe na ufahamu wa ziada wakuzaliwa nao, si uliona mwingine anasema no.za magari zinaongezeka hivyo watu pesa wanazo, halafu usiwaseme wanawake tu sema mijitu maana wanaume ndiyo wenyewe huyo mama ni tone tu.

Ni Afrika tu, nchi zilizoendelea pamoja na kujikusanyia mali viongozi, lakini wanahakikisha mahitaji-msingi kama maji safi, elimu, huduma za afya, nishati na makaazi bora huwa hilo hawaliachi kabisa.

Ila nchi za waafrika mambo ya msingi kama maji safi, elimu, huduma za afya, nishati na makaazi bora watawala na tabaka tajiri lenye kujikusanyia mali wamelifumbia macho.

Sababu kuu inaweza kuwa weusi hawajawahi kubambana wenyewe kwa wenyewe kupinga wachache kujimilikisha mali kupitia madaraka waliyonayao ya kidola.

Nchi za ulaya, Marekani ya Kaskazini, Asia wamewahi huhoji kwa hoja Karl Marx, Lenin n.k kupigana na watawala wao wa kidola waliopojimilikisha mali kupitia serikali na vyama tawala vilivyo walafia wa V8, Rushwa n.k

1710083100295.png

Burlaks, or barge-haulers, on the Volga River. Picha ya wavuja jasho wa mto Volga Russia ikionesha machungu ya masikini wa miaka iliyopita Masikini Mtaji wake Ni Nguvu zake. Baadaye wakakata dhama hiyo iliyoundwa na mabwanyenye wa kidola.

Hata latino America Nicaragua, Colombia, Argentina n.k watu wanahoji sana waliopo madarakani ikiwa wanajimilikisha mali kupitia utawala wa kidola na kuwaacha walio wengi katika dimbwi la umasikini. Na masikini hao wanachapa kazi sana ila kodi wanazolipa kupitia makato, tozo, michango, mageti ya mazao, kodi ya kuvuna mkaa n.k hawaoni manufaa ya vitu vya msingi kwa familia zao ambayo ni chakula, mavazi, makaazi bora, elimu, huduma za afya, nishati na maji safi

Afrika na Tanzania inabidi tuendelee kuwahoji watawala kwanini huduma za msingi za maji safi, elimu, huduma za afya na makaazi bora hakuna wakati watawala wanaishi maisha ya ufahari na anasa kwa kutumia kodi na maliasili za taifa.

WALALAHOI WACHOVU MATEKA WA UTUMWA WA KIDOLA WAKIVUJA JASHO NA DAMU MIAKA 1800S, BAADAYE WAKASEMA SASA BASI

View: https://m.youtube.com/watch?v=KfsWoNpHg2s
Ey, ukhnem! Ey, ukhnem!*
Once more, boys, and yet once more!
Ey, ukhnem! Ey, ukhnem!
Once more, boys, and yet once more!

As along the shores we run,
Sing our shanty in the sun.
Ai-da, da ai-da! Ai-da, da ai-da!**
Sing our shanty in the sun!

Ey, ukhnem! Ey, ukhnem!
Once more, boys, and yet once more!

Volga! Volga! Mother stream!
Oh, thou river, broad and deep!
Ai-da, da ai-da! Ai-da, da ai-da!
Once more, boys, and yet once more!

Volga! Volga! Mother stream!
Oh, thou river, broad and deep!
Ey, ukhnem! Ey, ukhnem!
Yeshcho razik, yeshcho da raz!***

Ey, ukhnem! Ey, ukhnem!

*Эй, ухнем! Эй, ухнем! (Yo, heave, ho! Yo, heave,ho!)
**Ай-да, да ай-да! Ай-да, да ай-да! (Ay-da, da, ay-da! Ay-da, da, ay-da!)
***Ещё разик, ещё да раз! (Once more, once again, still once more!
 
Miss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto wengi zaidi ya asilimia 20 walibainika kutokwenda shule. Wawapo shuleni wanakosa chakula huku wakitumia muda wa zaidi ya masaa manne kwenda na manne kurejea majumbani kwao.

Binti huyu alishiriki kujenga shule na akajitolea kufundisha. Alijitolea chakula na malazi ikiwemo kuwanunua wanafunzi mavazi. Stori hii imerushwa live na inasambaa mitandaoni. Wanaojadili wanaona kama fedhea kwa watawala wetu huku watawala wakijinadi kwamba inatangaza utalii na kuitangaza nchi yetu.

Kwa maana nyingine watawala tatizo la watoto kukosa shule siyo big deal bali kwao wao wanaona kama video hii inatangaza utalii. Nimesoma comment ya waziri mmoja akisifia video ile akidai imesaidia wengi kuifahamu Tanzania.

Mimi nikawa na Mtizamo tofauti; nilipoona video hii nimejiuuliza Mama Salma Kikwete anakosa nini hadi achukue fedha za wananchi maskini ziwe zake na familia yake kupitia sheria mpya aliyopenyeza bungeni ya mafao ya wenza wa viongozi?

Hao wenza wa viongozi wana umaskini gani hadi wajione wao wanafaa kulipwa mabilioni ya kodi za umma for years huku wananchi wakikosa mlo mmoja?

Huyu binti Miss Worl hana pensheni lakini ana moyo wa Mungu na upendo. Huyu binti siyo Mtanzania ila ameonyesha kujali na kuthamini uhai wa watoto wetu. Huyu binti siyo mweusi bali ametambua kila binadamu anahitaji haki ya elimu na kuishi.

Natambua wenza walio wengi ni wanawake kuliko wanaume. Natambua waliopigania kulipwa mabilioni haya ni wanawake na siyo wanaume. Natambua wanawake wote waliopigania hii hoja wamezaliwa familia bora. Natambua wanawake hawa hawajawahi kuwaza wala kufikia kusaidia yeyote kwa fedha zao kama alivyofanya huyu binti. Wengi wao utumia fedha za umma kuzifanya mali yao na kutumia miradi ya umma kama fadhila kwa jamii.

Wanawake weusi jitafakarini, waume zenu walipopata madaraka walijilimbikiza mali za umma. Mwenyenzi Mungu akakasirika na sasa wakimaliza muda wa huduma wanachokiona mbele yao ni magonjwa na hivyo vile walivyochuma kwa dhulma vimeoza na kuishia kuwatibu kuliko kuvisaza.

Naona wanawake nao wameamua kujilimbikizia mali za maskini kwa msingi wa sheria. Wanawake viongozi wa Tanzania wamewakwa tamaa na nafsi zao zinawaza kuishi kwa anasa pale wenzao wao wanapoostaafu.

Amini Amin nawaambia......kwa kuwa pensheni hii italipwa mkiwa hai na ili msilipwe pensheni hii kwa muda mrefu na kunyonya maskini , Mwenyenzi Mungu anakwenda kuwapa maisha mafupi sana. Kisheria mtalipwa ila kiroho mtalipwa kwa muda mfupi sana.

Haiwezekani binti wa miaka 24 aje kwenye nchi yenye kila kitu akasaidie kulisha watoto wetu huku ninyi mkijilimbikizia mabilioni msiyoyafanyia kazi

Hongera miss world kwakuwainua wanetu.
Dah aise umeongea kwa uchungu sana natamani wangeliona hili bandiko....Sisi ngozi nyeusi hakika tulishalaaniwa.
 
Mie simlaumu salma maana yule mama hata akiongea tu unajua tu huyu.........
Ilaa hao wanaojiita wasomi walioona hilo wazo ni la maana sana hadi wakalichukua na kulifanyia kazi haraka sana. Ilihali kuna mambo mengi ya msingi kama ya kikokotoo kila mtu anajifanya halimhusu. Nchi ya hovyo sana hii.
 
Dunia hivi sasa ni kama tu kijiji, "limit is only the sky", ni lazima Watanzania tujipime sisi wenyewe kupitia tawala, viongozi na wananchi wa nchi nyingine. Pamoja na uwepo wa haki, maadili, kinga, pamoja na majukumu ya mbunge na bunge. Lakini, Je! Maamuzi yao kwa kiasi gani yana tija kwa mwananchi wa kawaida!?

Suala la wenza wa viongozi kupewa mafao maalum lina ukakasi mwingi sana. Mathalani, Je! Vipi kuhusu wenza wa maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambao muda wote wa ajira zao huwakabiriwa na tishio la kudumu la uhai wao, kwa kuwa viapo vya kazi huwafanya wawe tayari kufa wakati wowote ule kwa ajili ya uzalendo kwa nchi yao!?
Nakubaliana na wewe
 
Kosa lake liko wapi?? Tupunguze chuki!
Mkuu, ukiwa unatanguliza usomi wako, unakuwa unazidi kuharibu kama walivyoharibu wasomi wenzako wengi walioko serikalini!

Amekosa nini?

Anajua kuwa kuna waliotumika na serikali physically kwa miaka zaidi ya 30 na wanalipwa 30m tu kama kiinua mgongo kwa miaka hiyo yote na kisha kupewa 33% ya mshahara wake kama monthly pension kwa miaka 12 tu? Ilhali yeye, MUME wake analipwa 80% ya mshahara wa aliyeko madarakani?

Yeye akipewa TAASISI iliyokuwa inavuna pesa kwa jina la serikali na nafasi ya mume wake!

Unajua kwanini Magufuli aliamua kushusha mshahara wake? Akilipwa yeye tsh 9m, maana yake wastaafu wanalipwa 80% ya 9m, akilipwa tsh 35m aliyoiacha Kikwete, ina maana jamaa wanachukua tsh 28m, kisha na yeye anataka alipwe ngapi ikiwa alinufaika kwa asilimia kubwa sana ya madaraka yale?

Angeweza kujimilikisha mali zote bila hiyi nafasi?

Unadhani mwalimu au mkurugenzi wa wilaya anayo nafasi ya kupeleka hoja ya kuwanufaisha wenza wao na ikapita?

Unadhani wehu wanaoingia mjengoni ni watu wanaweza kubadilika na kuwa timamu?

Unadhani akina Doto magari, Mwijaku, Baba Levo n.k.wanaweza kuwa think tank? Maana ndo hao walio mjengoni!

Mwisho, ni dhahiri shayiri na wewe ni mwanachama!
 
Mie simlaumu salma maana yule mama hata akiongea tu unajua tu huyu.........
Ilaa hao wanaojiita wasomi walioona hilo wazo ni la maana sana hadi wakalichukua na kulifanyia kazi haraka sana. Ilihali kuna mambo mengi ya msingi kama ya kikokotoo kila mtu anajifanya halimhusu. Nchi ya hovyo sana hii.
Waliunga mkono kwa sababu camera zinawaona na wangepinga tu basi 2025 hawarudi.........ccm ni zaidi ya uijuavyo.
 
Hakuna dhambi mbaya kama ubinafsi kwa mwenyezi Mungu. Hawa jamaa zetu wanapokufa wanachokutana nacho huko kinatisha.
Hakuna aliyekiona wanachokutana nacho.

Tena huenda hawakutani na kitu chochote
 
Mficha uchi hazai Tanzania bado ni masikini huo ndio ukweli miaka 20 iliyopita kulikuwa na issue ya mapanki.

Mpaka yule mwandishi akaletewa mizengwe ila ukweli tulikiwa tunakula mapanki

Hawa wanafanya hivi kutusaidia huu ndio uhalisia wa maisha yetu !!!!

Mpaka uwa najiuliza miaka 60 ya Uhuru Nyerere, mwinyi, Mkapa, kikwete, Magufuli na Samia walishindwa nini kusolve tatizo la msingi ambalo ni umasikini.!! ?
Hapo sasa. Miaka zaidi ya 60 na rasliali zote, tunashindwa kuwatibu wazee wasio na uwezo! Miaka 60 bajeti ni 9% tu inayohusu maendeleo na 91 inawahusu wao hususan maisha yao ya anasa, na bado watu wanaimba mapambio ...ama kweli tuna kazi!!
 
Naona wanawake nao wameamua kujilimbikizia mali za maskini kwa msingi wa sheria. Wanawake viongozi wa Tanzania wamewakwa tamaa na nafsi zao zinawaza kuishi kwa anasa pale wenzao wao wanapoostaafu.

Amini Amin nawaambia......kwa kuwa pensheni hii italipwa mkiwa hai na ili msilipwe pensheni hii kwa muda mrefu na kunyonya maskini , Mwenyenzi Mungu anakwenda kuwapa maisha mafupi sana. Kisheria mtalipwa ila kiroho mtalipwa kwa muda mfupi sana.

Haiwezekani binti wa miaka 24 aje kwenye nchi yenye kila kitu akasaidie kulisha watoto wetu huku ninyi mkijilimbikizia mabilioni msiyoyafanyia kazi

Hongera miss world kwakuwainua wanetu.
1710086252075.png
 
Binti mwanafunzi wa chuo anakuja kujenga shule na kugharamia watoto wetu huku viongozi wakikalia kutunga sheria ya kulipwa mabilioni kwa kauli ya Mama Salma kwamba wake wa viongozi wanateseka! Kweli tunaweza kusimama siku ya wanawake kukitumua kwamba tunajali watoto? Mke wa kiongozi anashindwa hata kujenga kindergarten school

It's painful ukiwaza kwamba mzee mwinyi na mwanaye pekee wanastahili pensheni na magari yao

Wake zao wapo wanne kila mmoja pensheni na magari ya serikali na bado wote hawa wanapaswa kujengewa nyumba za kuishi na serikali

Tunakuwaje na watu wakatili kiasi hiki Tanzania?
 
Miss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto wengi zaidi ya asilimia 20 walibainika kutokwenda shule. Wawapo shuleni wanakosa chakula huku wakitumia muda wa zaidi ya masaa manne kwenda na manne kurejea majumbani kwao.

Binti huyu alishiriki kujenga shule na akajitolea kufundisha. Alijitolea chakula na malazi ikiwemo kuwanunua wanafunzi mavazi. Stori hii imerushwa live na inasambaa mitandaoni. Wanaojadili wanaona kama fedhea kwa watawala wetu huku watawala wakijinadi kwamba inatangaza utalii na kuitangaza nchi yetu.

Kwa maana nyingine watawala tatizo la watoto kukosa shule siyo big deal bali kwao wao wanaona kama video hii inatangaza utalii. Nimesoma comment ya waziri mmoja akisifia video ile akidai imesaidia wengi kuifahamu Tanzania.

Mimi nikawa na Mtizamo tofauti; nilipoona video hii nimejiuuliza Mama Salma Kikwete anakosa nini hadi achukue fedha za wananchi maskini ziwe zake na familia yake kupitia sheria mpya aliyopenyeza bungeni ya mafao ya wenza wa viongozi?

Hao wenza wa viongozi wana umaskini gani hadi wajione wao wanafaa kulipwa mabilioni ya kodi za umma for years huku wananchi wakikosa mlo mmoja?

Huyu binti Miss Worl hana pensheni lakini ana moyo wa Mungu na upendo. Huyu binti siyo Mtanzania ila ameonyesha kujali na kuthamini uhai wa watoto wetu. Huyu binti siyo mweusi bali ametambua kila binadamu anahitaji haki ya elimu na kuishi.

Natambua wenza walio wengi ni wanawake kuliko wanaume. Natambua waliopigania kulipwa mabilioni haya ni wanawake na siyo wanaume. Natambua wanawake wote waliopigania hii hoja wamezaliwa familia bora. Natambua wanawake hawa hawajawahi kuwaza wala kufikia kusaidia yeyote kwa fedha zao kama alivyofanya huyu binti. Wengi wao utumia fedha za umma kuzifanya mali yao na kutumia miradi ya umma kama fadhila kwa jamii.

Wanawake weusi jitafakarini, waume zenu walipopata madaraka walijilimbikiza mali za umma. Mwenyenzi Mungu akakasirika na sasa wakimaliza muda wa huduma wanachokiona mbele yao ni magonjwa na hivyo vile walivyochuma kwa dhulma vimeoza na kuishia kuwatibu kuliko kuvisaza.

Naona wanawake nao wameamua kujilimbikizia mali za maskini kwa msingi wa sheria. Wanawake viongozi wa Tanzania wamewakwa tamaa na nafsi zao zinawaza kuishi kwa anasa pale wenzao wao wanapoostaafu.

Amini Amin nawaambia......kwa kuwa pensheni hii italipwa mkiwa hai na ili msilipwe pensheni hii kwa muda mrefu na kunyonya maskini , Mwenyenzi Mungu anakwenda kuwapa maisha mafupi sana. Kisheria mtalipwa ila kiroho mtalipwa kwa muda mfupi sana.

Haiwezekani binti wa miaka 24 aje kwenye nchi yenye kila kitu akasaidie kulisha watoto wetu huku ninyi mkijilimbikizia mabilioni msiyoyafanyia kazi

Hongera miss world kwakuwainua wanetu.
Tukisema serikali na viongozi wa CCM wameoza mapopoma kuna nyumbu wanakuja kutetea na kung'aka humu ndani.
Doh!!
Ila huyo kiongozi kanivunja nguvu eti video imesaidia kuitangaza Tanzania.
 
Inasikitisha, ukiacha Wake wa viongozi. Hutu nyonyq damu aliyeko madarakani yeye anavaa saa ya Milioni 110 na ziara za nje ya nchi kila baada ya wiki kwenda kula bata. Hajali wanawake wenzake wanaojifungulia chini kwa kukosa vitanda mahospitalini.
 
Back
Top Bottom