Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

Watanzania masikini ni kivutio kwa wageni ndio maana viongozi wakienda kuomba msaada wanapendeza sana, lakini wanasema wanaowawakilisha wana hali mbaya.😏
 
Wewe una Akili kweli? Au ubongo wako umejaa matope kosa hulioni watu wachache kupewa Mabillion wale na familia zao huku mamillion ya watu wakipitia Maisha ya msoto kwako hio ni Sawa? Kwanini hizo Pesa zisiende kusaidia watu km hao wenye uhitaji kwanini asingepeleka muswaada wa kusaidia watu km hao angepungukiwa nini? Kuna mjinga mwingine anataka Bunge liishinikize Serikali inunue Ndege ya Bunge Ndege kwa ajili ya wabunge
 
πŸ™
 



 
Mkuu sikufichi
Tangu huu mwaka uanze wewe ndiyo mtu mjinga kuliko wote niliowahi kuwaona ..!
 
Pamoja na ubinafsi wa viongozi, kuna hulka huwa tunayo kwamba wanaokuja kutusaidia kuna wanachopata. Hii husemwa hasa pale mtoa msaada akiwa na ngozi nyeupe, japo hata mwezetu akianzosha taasisi ya kusaidia jamii, tunakimbilia kusema ni dili anafukuzia hela za wazungu. Sijui tunataka wenye mahitaji kwenye jamii yetu wasaidiwe na nani. Kuhusu huyu miss world, nimeona twitter mtu kaandika wazungu huwa wa mikakati sana, kwamba msaada aliotupa miaka minne iliyopita anakuja kuutumia kushinda miss world. Kwamba binti mwenye miaka 18 alikuwa na foresight ya kwenda sehemu ngeni kabisa kwake, kijijini ndani ndani, akajenga shule watoto wasome, Ili miaka ya mbeleni pengine vitamsaidia ashinde miss world. Hao watoto wanaosomeshwa elimu waliyopata si kitu, issue ni binti kashinda miss world Kwa kuwatumia.

Wakati huo huo sisi watoto ambao wala hatuhitaji kwenda mbali kuona wanavyoishi hatuna msaada kwao. Tunawafungia vioo wakija kutuoshea vioo vya magari barabarani, wakituomba hela tukiwa kwenye foleni tunasema wanatumiwa, ni mradi wa mtu, zikianzishwa harakati kupambania uboreshwaji wa maisha kwa wote, sio tu hatuungi mkono, tunabeza.
 
Empty head[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Tatizo NI WABUNGE kuwa na TAMAA, hujawahi kujiuliza kwanini Sheria haingazii kwanini MTU astaafu utumishi wa umma alafu aingie kugombea aendelee KUIBA Tu..mfano KIMEI amekuwa boss wa bank muda mrefu ,mfumo ukaona inatosha astaafu, alafu yeye anakwenda bungeni Kula pesa za bure Tu..wako wengi wabinafsi..." If you want a peace start a war"
 
wao nio wao yale yale- wewe uanandika tu humu ungekuwa walau umefanya kama huo miss world. Jiangalie kwenye familia na ukoo wenu- umebeba wangapi? Angalia maji unayotawazia chooni na maji wanayokunywa ndugu zako kule kwenu. Una simu ya 500k ila unalia huna mtaji. Halafuunakuja hapa na maneno ya ajabu ma kalaumu laumu. Ukianza kualaumu ujue wewe umeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…