SI KWELI Video: Anayejiita Superwoman akamatwa na mihadarati nchini Oman

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mimi tangu Shamimu Zeze 8020 Fashion mamaa wa kibubu akamatwe na NGADA siwaamini tena hawa walioanza na mtaji wa afu tatu.

Siri ya utajiri anaijua TAJIRI mwenyewe hayo anayoyaelezea nje si yaliyompa huo utajiri ,hayo ya nje unayoyaona ni camouflage.
 
Kwa waarabu kaisha huyo ,halafu ni ushamba sana yaani hapo hata zile Scanner za screening airport anashikwa.
Inaweza kuwa ilikuwa mbinu yake kupitisha na si unajua ma papa huwa yanasafisha njia kabisa sas hapo ukikuta njia haijasafishwa hahah lazim ujae mikononi kingine wakiona passport imejaa mihuri ndani ya miezi umesafir mara kadhaa kengere za masikio zinalia wanaanza kukutilia mashaka unajaa mikononi mwao hujiulizi why wengine wapite na mtu kameza kete tumboni lakin wana mpoint yeye apigwe full body scan washamtarget kitambo
 
Kakamatwa kwenye harakati.

Live for nothing, die for something
Get rich or die trying
ndio hii.

Ila usimuamini mtu aliyetoboa hata siku moja, mafanikio yana siri nyingi sana.
Haha ni kweli watu wana siri nyingi lakin pia watu wapine kabla hawajaingia kwenye hiyo career
 
Hii clip niliiona TikTok kuna watu walisema huyo mtu sio Mtanzania ni Mnigeria na clip ni ya siku nyingi
Ya miaka 4 huko hyo mama ni muwest africa naona watu wana comment kama tu πŸ˜„

Ova
 
View attachment 3245074


Yule Super Women aliyesema anauza Mchicha mpaka Ulaya Leo amekamatwa Oman na Kete 100 za unga.
Looh!

Ameumbuka vibaya sana. Njia ya mwongo ni fupi.

Hawa ndio wamekuwa wakilichafua jina la nchi ya Tanzania huko ughaibuni kiasi cha kuifanya Passport za Tanzania kuonekana kuwa ni za Watu wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.

Wafungwe maisha huko huko walikokamatiwa au wanyongwe kabisa ili kuwapunguza idadi yao hawa Watu. Wamekuwa wakisababisha Kero kubwa sana kwa Wasafiri wengine wenye Passport za Tanzania ambao ni raia wema kwani na wao pia wamekuwa wakihisiwa kuwa wanajihusisha na uhalifu wa namna hii.
 
Wengi wao wanafanya uhalifu nyuma ya pazia. Money laundering na madawa ya kulevya ndo sababu kuu.
 
Majanga ya uchawa na kujipendekeza yameharibu taswira ya Taifa na wasomi hence walio na Elimu wamekuwa sawa kama wasio na Elimu ki mtazamo, mawazo na uwasilishaji wa hoja. Vilevile media kwa sasa hatuna Tanzania. OverπŸ™ŒπŸ»
 
Ko huamini kama mawese yanalipa tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
duuh!sasa kama kakamatwa huko,atahukumiwa huko huko au atarejeshwa bongo kuhukumiwa?
 
Aise hii signature yako juu nimeipenda mno mungu akubariki mambo yako yawe mepesi ngoja niku inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…