SI KWELI Video: Anayejiita Superwoman akamatwa na mihadarati nchini Oman

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Stori za mafanikio huwa zinasimuliwa kwa sauti ya chini na kwa upole sana.

Ukiona mtu anasimulia kwa kupayuka jua hamna kitu hapo
Huyu asingekamatwa, siku moja angedanganya watu kuwa alianzia biashara na fungu moja la mchicha wa jero, na sasa ni milionea.
 
Hii clip niliiona TikTok kuna watu walisema huyo mtu sio Mtanzania ni Mnigeria na clip ni ya siku nyingi
Maana aliyesema anauza mchicha nje ya nchi ni yule Mamalishe Sura ya Baba wa kuolewa kila kukicha
 
Mwanangu umeongea point kubwa sana.
 
Noma sana🚨🚨🚨🚨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…