Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

Usiseme hivyo mkuu kuna emergency ...
Mfano mimi nimejenga mpiji magohe kuna muda huwa barbara ni mbovu huwezi toka na mkweche wako au panda daladala option unayobaki nayo ni bajaj or bodaboda
Kufika mbezi kwa uhakika ni Boda tu hapo unakwepaje?
Sasa mkuu Mimi nikipata free time naendaga sana Mpiji Magohe na Ile road naijua vzr, Ile road sio ya kupanda boda boda tena kipindi hiki cha mvua option pekee ni dala dala
 
bosi nani kamalaumu dereva wa mwendokasi nimesema watumie busara na utu, sababu hii miundombinu ya treni za mataili ina mapungufu usiiishie kumsema bodaboda utakuta huyo boda siku nzima anafanya kazi akili inachoka msiishie kuwalaumu hawa watu ni ndugu zetu wametoka kwenye familia zetu eti pombe, nani hanywi pombe madaktari au kwani hawafanyi upasuaji.
Wewe bodaboda tuliza mshono! Mjirekebishe Kuna siku navuka barabara libodaboda jenzako linakuja upande mwingine nusu nikizabe kofi
 
Magufuli alifika wapi pamoja na kujitolea maisha yake kwa ajili ya nchi hii? 😳
alijenga stendi nchi nzima stendi za hadhi ya kimataifa, alijenga masoko nchi nzima masoko ya kimataifa, alianzisha ujenzi wa sgr alianzisha ujenzi wa bwawa na mwalimu nyerere, alikua anatukumbusha watanzania tuchape kazi kila akitoa hotuba, hivyo vitu nilivokutajia vilikuepo kipindi cha mkapa au kikwete, au wewe ulikua unaipenda stendi ya ubungo pachafu kama banda la bata sijui mbuzi, mama amefanya nini mpaka sasa taja kimoja tu.
 
Sioni kosa la madereva wa Mwendokasi.Kwa hili kabisa unaona kama mwenye bodaboda alitoka kule kwa kasi bila hata kufunga breki kuangalia pande zote,lakini akaona ni kupita tu.
hujaona kosa la dereva wa mwendokasi hata mimi sijaona kosa la dereva bodaboda hata kama ametangulia mbele ya haki, waliodesign barabara za mwendokasi bila vizuizi vya lazima sehemu kama ile ndio wauaji wenyewe boda boda mnamwonea.
 
Wewe bodaboda tuliza mshono! Mjirekebishe Kuna siku navuka barabara libodaboda jenzako linakuja upande mwingine nusu nikizabe kofi
acha mihemko nani boda boda, acheni kunyosha vidole kama waimba taarabu bodaboda ni wahanga wa ajali sio kwamba wao ndo wavunja sheria sana polisi wanavunja sheria barabarani kupita maelezo, magari ya serikali, daladala
 
acha mihemko nani boda boda, acheni kunyosha vidole kama waimba taarabu bodaboda ni wahanga wa ajali sio kwamba wao ndo wavunja sheria sana polisi wanavunja sheria barabarani kupita maelezo, magari ya serikali, daladala
We kaza tu fuvu mkuu. Siku utokezee main road mkuku mkuku ukutane na hizo SU zimelaza mshale. Uone kesi italalia kwa nani
 
Mwendo kasi sio shida. Mwal wako wa udereva ni nani? Aliyekuelekeza ukiingia barabara kuu uingie tu kama unapanda kitandani?
kama ushawahi tafuta hela kwa nguvu utajua tu yule bodaboda kuna sababu zilimfanya akimbie vile,
-anakimbizia hesabu siku nzima usikute alipata wateja watatu hesabu haisomi
-amelipwa nusu bei na abiria
-ameombwa na abiria amuwaishe
-amefanya kazi siku nzima akili ilikua haifanyi kazi tena
niambie kwenye mazingira gani dereva wa mwendokasi anaweza akawa na mawazo kama hayo kichwani au dereva wa daladala
 
Wameua sana watu kwenye zebra
hauwezi ukatoa lawama tu kwa bodaboda lazima uchimbe ujue hawa watu wanapitia matatizo gani kwenye kazi yao, nusu bei, kulazimishwa kuwahi kufika, kukimbiza hesabu, kipato chenyewe kidogo kuhukumu tu ni utoto, unataka unambie dereva bodaboda akiacha kazi ya boda akapata uba hata kigari kidogo ist atakua na tabia za kibodaboda sio kweli mimi hua naona bodaboda wanapitia mambo magumu kama dada zetu wanaouza bar
 
Back
Top Bottom