Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

Hizi damu zinqzopotea kila siku ziwe juu ya watawala waliohalalisha huu usafiri wa bodaboda...
 
Hizi damu zinazopotea kila siku ziwe juu ya watawala waliohalalisha huu usafiri wa bodaboda...
 
Labda ni ile mwanzo wa safari tu kumuasa kua huna haraka aende taratibu.
Lakini jama kusema eti alimruhusu boda akimbie kama kipanga eti akiiona hatari atamstua ni kumbip mtoa roho.
 
Huyo Boda kazingua, huwezi kwenda m kwa moja penye kona kwa speed. Alitakiwa apunguze aone kama kuna usalama ndio apite yeye hajapunguza hata kama alikuwa makini.

Njia niliyopitishwa haikuwa na kona kali kama ile ya yule Boda
Hamna kona kali hapo ni makutano ya barabara.
Haijalishi upo eneo gani, mwendokasi sio mzuri, nenda mwendo wa wastani tu
 
Aisee🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…