Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ni ile mwanzo wa safari tu kumuasa kua huna haraka aende taratibu.Kuna ile lawama wanatoaga watu kwa abiria "kwanini anakubali" "kwanini akumwambia asipite" watu wanasemaga hivyo hua hawana Common Sense
Mfano kama hapo walipogogwa sehemu ambapo ilibidi dereva achukue uamzi wa kusimama kwanza na kuachukua uamzi wa kupita hivyohivyi ni JUST SECONDS ni swkunde kadhaa tu yaani hata abiria ustuke Hey simama angalia kwanza hio kauli inaisha ushaivuka balabala kitambo kama atari ishatokea.
Hamna kona kali hapo ni makutano ya barabara.Huyo Boda kazingua, huwezi kwenda m kwa moja penye kona kwa speed. Alitakiwa apunguze aone kama kuna usalama ndio apite yeye hajapunguza hata kama alikuwa makini.
Njia niliyopitishwa haikuwa na kona kali kama ile ya yule Boda
Waarabu washashiba hela za mafuta
Aisee🤔Yani Pikipiki ni chombo flani cha hatarii sana Ukiweka na style ya ovyoo ya kuendesha ya boda bodaa ni balaaa.. Juzi tu hapaa nilipanda boda jamaa nusu akutane na gari la shule uso kwa usooo akaniomba msamaha kichizi... Kuja mshkaji wangu nae sio kwamba hana gari ila alitaka kuwahi mahali aisee ikawa mwisho wa uhai wake.. Pia jamaa mwingine alinununia pikipiki kwa usafiri binafsi juzi tu Lori likamlambaa ni shida aisee unaweza kuwa makini lakini bado kikakulamba japo asilimi 90 huwa kunakuwa na uzembe