Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake.

Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi wao waliuawa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Maombi yako kwa Mujahidina wa Gaza na Lebanon
Ewe Mola wasaidie Mujahidina na wapiganaji wa upinzani
=========================
Grow up
God is great, God is great, God is great, and to God be praise.

Watch the Mujahideen of the resistance clash from a distance with the infiltrating Zionist elite force, and many of them were killed by the power of God.

Your prayers for the Mujahideen in Gaza and Lebanon
O God, support the Mujahideen and the resistance fighters


View: https://x.com/sohil7720/status/1851120509410246732?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
========================

View: https://x.com/iiran_arabic/status/1850998881686897034?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
IDF walidhani wanaweza kuingia Lebanon kama walivyoingia Gaza kuuwa watoto na wanawake kuvunja majumba, wamekutana na Hezbollah walichokipata wenyewe wameondoka majeshi rasmi.
We nawe kumbe dish tu, video ina mwezi sasa, uliileta mara ya kwanza unaileta tena leo, ili iweje?
Acha kuwa mtumwa tafuta hela
 
Pole nyingi kwao
Tuwaombee amani wapate kuelewana na amani itawale daima
 
IDF walidhani wanaweza kuingia Lebanon kama walivyoingia Gaza kuuwa watoto na wanawake kuvunja majumba, wamekutana na Hezbollah walichokipata wenyewe wameondoka majeshi rasmi.
Ndo Netanyahu ameamua kuwasukumia huko eti watashinda sijui nani anawadanganya
 
Mbona kama hao ni hamas wa tarehe 7.
Ila nimeona moja jamaa wanatumia ATMG kusambaratisha Kifaru na wanajeshi wa IDF. Israel isipowamaliza Hesbulah msimu huu basi hawatawafuta tena. Jamaa wnakula mabomu kama mvua.
 
Back
Top Bottom