Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

Ndiyo Wanawake na Watoto ndiyo wanaolipa gharama kwa huu unyama uliofanywa na Hamas!
 
Wanaukumbi.

Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, Mungu ni mkuu, na sifa njema ni zake.

Tazama Mujahidina wa upinzani wakipambana kwa mbali na jeshi la wasomi wa Kizayuni waliokuwa wakiingia, na wengi wao waliuawa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Maombi yako kwa Mujahidina wa Gaza na Lebanon
Ewe Mola wasaidie Mujahidina na wapiganaji wa upinzani
=========================
Grow up
God is great, God is great, God is great, and to God be praise.

Watch the Mujahideen of the resistance clash from a distance with the infiltrating Zionist elite force, and many of them were killed by the power of God.

Your prayers for the Mujahideen in Gaza and Lebanon
O God, support the Mujahideen and the resistance fighters


View: https://x.com/sohil7720/status/1851120509410246732?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

mtoto akiutaka apewe tu
 
1730219937915.jpeg
 
Israel's Channel 12 reported Monday that the deal concerning Lebanon aims for a 60-day ceasefire, during which the specifics of a comprehensive agreement will be reached.

It further claimed that Israel seeks a deal that cancels the expansion of ground operations in exchange for imposing a naval, land, and air "targeted blockade" on Lebanon.
 
Kwa hiyo mwana IDF mmoja kufariki ndio unashangilia hivyo?

Uliona wapi vita ya kuuawa upande mmoja tu?

Halafu eti mola awasaidie mujahidina, hivi kwani huyo mola wenu hakuwaumba wayahudi?

Mbona kama akili za kitoto sana hizi.

Hivi huwa inakuwaje mtu unakuwa na akili za kijinga namna hii?

Eti wanaukumbi!
We umjui huyo kuwa alikua anashangilia hata mujahidina walipoingia kibiti na kuuwa watanzania?. Pia likichukia JW kuwafyeka wakakimbiza kobasi msumbiji. Linatamani hata Leo Tanzania iungozwe kiislamu lakini halina jinsi ya kufanya
 
Waarabu na waisrael wote ni ndugu tu coz wote wanadamu ya muyahudi saa sijui waafrika baba ya o Nani!?
 
Back
Top Bottom