Hii mbona ya zaman humu ndan imo au wewe ndo umeipata leo
Hii mbona ya zaman humu ndan imo au wewe ndo umeipata leo
Ivo mzee machine ukipewa unaweza kuitumia kweli?
Ivo mzee machine ukipewa unaweza kuitumia kweli?
We nawe kumbe dish tu, video ina mwezi sasa, uliileta mara ya kwanza unaileta tena leo, ili iweje?IDF walidhani wanaweza kuingia Lebanon kama walivyoingia Gaza kuuwa watoto na wanawake kuvunja majumba, wamekutana na Hezbollah walichokipata wenyewe wameondoka majeshi rasmi.
Ndo Netanyahu ameamua kuwasukumia huko eti watashinda sijui nani anawadanganyaIDF walidhani wanaweza kuingia Lebanon kama walivyoingia Gaza kuuwa watoto na wanawake kuvunja majumba, wamekutana na Hezbollah walichokipata wenyewe wameondoka majeshi rasmi.
Ndo Netanyahu ameamua kuwasukumia huko eti watashinda sijui nani anawadanganya