Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

Wakati huo kinanyetanahu wamejificha kwenye mashimo kama panya
 
hayo ndo madhara ya vita, vita maana yake ni pande 2 zinazopigana, kwahyo kila upande lazma kutakua na majeruhi na vifo, ila nani kachapika zaid, upande upi umeathirika zaid, tuendelea kufatilia habari kuelewa.

mimi kwa kumbukumbu zangu mwanzoni mwa vita na hamas mambo yalikua hivi, idf walikutana show kali za hamas ila baada ya muda kibao kiligeuka, hamas wameisha na gaza ni mali ya israel.
vita ni kitu kibaya tuombee Amani duniani kote.
 
Just last week colonel anaongoza vita vya Gaza kaliwa kichwa kimya kimya IDF wakanyamaza, baadae Kiongozi wa Druze aka bwatuka, IDF Waka Admit amefariki.

Huko Gaza vita mbichi kila siku Vifaru na Askari wanauliwa.
 
Angalia hili shoga sasa umekasirika nini unataka kuharisha😂
Endelea kuchukulia hii vita personal utakufa na kihoro, wanapigana mashariki ya kati mkund# unakutetemeka uliyepo bonyokwa umepakatwa na bwanaako.

Nenda na ww kawasaidie uone unavyotekwa kisha kupakwa mafuta ya P.Diddy na IDF kama wanavyopakwa kina Nasridin na wafuasi wak
 
IDF walidhani wanaweza kuingia Lebanon kama walivyoingia Gaza kuuwa watoto na wanawake kuvunja majumba, wamekutana na Hezbollah walichokipata wenyewe wameondoka majeshi rasmi.
Kwa hiyo umeandika thread na kucoment menyewe. Hamuwezi ishinda Israel hata mkikusanyika muhahijina dunia nzima
 
Kwa hiyo mwana IDF mmoja kufariki ndio unashangilia hivyo?

Uliona wapi vita ya kuuawa upande mmoja tu?

Halafu eti mola awasaidie mujahidina, hivi kwani huyo mola wenu hakuwaumba wayahudi?

Mbona kama akili za kitoto sana hizi.

Hivi huwa inakuwaje mtu unakuwa na akili za kijinga namna hii?

Eti wanaukumbi!
 
video za miaka hizo
 
Kazi nzuri kuyaua hayo magaidi ya Israel next time wawakamate na wawachune ngozi wakiwa hai
Itakusaidia nini? Hakuna vita watu wasiokufa. Haivutii kushangilia vifo na sidhani kama kuna dini inahamasisha na kushangilia watu kufa.

Watoto wanauawa na kuteseka bila sababu, wanawake wanaua na binafsi sioni hata sababu ya msingi ya hizo vita. Sijui kwanini wasikae chini wapatane. Kama wanagombea ardhi, si waje tuwape Mtwara au Tabora au Katavi waje kuishi. Mbona Tanzania tuna mapori mengi tu. Waje waishi hata haya mapori ya manyara kuliko kila siku kuuana bila sababu ya msingi.

Inasikitisha sana.
 
Acha unafiki wewe punguani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…