Video: Angalia wanachofanyiwa Wanajeshi wa Israel na Hezbollah

 

View: https://x.com/legittargets/status/1851572254620213759?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Nyetanyahu ni kwa vile hapigani yeye,wala watoto wake,wanaoumizwa na kuuwawa na watoto wa watu wengine.
 
Hii mbona ya zaman humu ndan imo au wewe ndo umeipata leo

Hakuna kitu kibaya kwenye maisha yetu kama kuidanganya nafsi yako mwenyewe.

Hii vita Israel imeonyesha iko next level. Sio Iran wala Hezbollah wala Hamas ambao wanachochote cha kuonyesha.

Unfortunately inaumiza sana kuona kina mama, watoto na wazee wanavyoteseka. Vita inasambaza laana.
 
Nyetanyahu ni kwa vile hapigani yeye,wala watoto wake,wanaoumizwa na kuuwawa na watoto wa watu wengine.

Baada ya kaka yake Yoni kuuwawa Entebbe, kwenye kuokoa wale mateka, amekuwa very radical. Hana woga kuua anaohisi ndio sababu ya kifo cha kaka yake.
Na alishawahi kusema kile kifo kilibadili kabisa mitazamo ya familia yake.
Kumbuka yeye ni commando pia. Mdogo wake Iddo, ni commando pia
 
Hasira zao wanarudi kulipua hospitalini na kuuwa wanawake na watoto ... Ila wakienda front hiki ndicho wakipatacho
 
IDF walidhani wanaweza kuingia Lebanon kama walivyoingia Gaza kuuwa watoto na wanawake kuvunja majumba, wamekutana na Hezbollah walichokipata wenyewe wameondoka majeshi rasmi.
Video ya kwanza ni Hamas na sio Hezbollah na ni mwanzoni mwa vita ya Hamas na Israel.
 
Hasira zao wanarudi kulipua hospitalini na kuuwa wanawake na watoto ... Ila wakienda front hiki ndicho wakipatacho
Hawa magaidi wa Israel,walimuua Yesu,aliyekuja kuwakomboa,na wanamuita mtoto wa nje ya ndoa.
 
Ngoja waje waisrael wa sekenke NB: vita sio nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…