viashiria vya uovu na wanajua kuwa ksho kunaweza kuwa na malipizi ya visasi maana hawatendi hakiWakuu,
Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo
Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana?
Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
Hao ni majambazi walioidhinishwa kisheriaNaomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo
Hofu na ulafi wa madarakani vinamtisha,, akipaliwa au kuumwa kichwa tu anasema kuna mkono wa mpinzani.Anayezingirwa hivyo hana hata uwezo wa kutupa ngumi.
Dola ina NguvuWakuu,
Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo
Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana?
Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
Ili Neno la Bwana lipate kutimia.Anayezingirwa hivyo hana hata uwezo wa kutupa ngumi.
huyo mropokaji anaesota korokoroni na kusumbua mahakama kila siku aliwahi kuhoji jambo hilo na likawekwa bayana na mahakama.Wakuu,
Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo
Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana?
Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
Tunakoelekea kila mtu anaikimbia kesi hataki kuonekana...mwisho hakimu na muendesha mashtaka nao watavaa kininja.
Inajulikana wanaovaa hivyo ni magaidi, wanafunika nyuso zao ili kuficha maovu yao.Ulitaka wafanyeje?
Na inawezekana wwnginehapo hata sio Askari Magereza, wamevalishwa tu hizo jezi, wapo kwa kazi maalumWakuu,
Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo
Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana?
Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
Mwana wa Mungu lissu , Mungu anaendelea nipa yaliyo makuu juu yake , Niseme Mtashangazwa , vita ya maombi ipambe moto sasa ,2020 nilitakiwa kusali kwenye kichuguu kirefu kuliko vyote ,leo naambiwa kusali kwenye chemchemu tambalale ndogo kuliko yoyote.Wakuu,
Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo
Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana?
Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
Kila mtetea ugali ana lugha yake ya kujihami, eti mropokaji. Ukweli hubadilishwa na hupewa majina mabaya, kama mbwa mzuri ukitaka kumuua unampachika jina baya. Ukiwa kwenye mfumo wa kufakamia rasirimali za wadanganyika, kila uchafu utautetea kwa jasho lako lote, leo Polepole Kiko wapi. Alikuwa na jeuri na alitamba balaa.huyo mropokaji anaesota korokoroni na kusumbua mahakama kila siku aliwahi kuhoji jambo hilo na likawekwa bayana na mahakama.
ni vizuri kuzoea tu vinginevyo kesho utahoji tena kwanini wanavaa miwani tinted, bullet proof vest, gloves za ngozi n.k🐒
Nimekutumana tusi zito wew mpaka wazazi wakohuyo mropokaji anaesota korokoroni na kusumbua mahakama kila siku aliwahi kuhoji jambo hilo na likawekwa bayana na mahakama.
ni vizuri kuzoea tu vinginevyo kesho utahoji tena kwanini wanavaa miwani tinted, bullet proof vest, gloves za ngozi n.k🐒
Kama hawana hata namba wala majina kwa sare, hawa si MT halisi.Na inawezekana wwnginehapo hata sio Askari Magereza, wamevalishwa tu hizo jezi, wapo kwa kazi maalum
Wahuni wapo pale hawaamini kinachotokea, kila mbinu inaangukia puaKila mtetea ugali ana lugha yake ya kujihami, eti mropokaji. Ukweli hubadilishwa na hupewa majina mabaya, kama mbwa mzuri ukitaka kumuua unampachika jina baya. Ukiwa kwenye mfumo wa kufakamia rasirimali za wadanganyika, kila uchafu utautetea kwa jasho lako lote, leo Polepole Kiko wapi. Alikuwa na jeuri na alitamba balaa.