VIDEO: Askari Polisi alalamikia mishahara midogo

Huyo atasugua soli sana tu
 
Mbona JWTZ hata wenye elimu ya darasa la Saba Wana pata V kirahisi Sana Kuna marafik zangu ni darasa la Saba lakin wa cheo tena V wengne mpaka tatu, na jeshini hawana miaka mingi
 
Labda alikuwa vitengo vya kula rushwa sana akaona kusoma ujinga. Ndio.maana unaona ni mzee sana lakini ana kacheo kadogo na mshahara mdogo
Nilikuwa sijui...Kumbe Polisi kuna kitengo maalum cha kula rushwa....???
 
Hata ya 3 pia sio shida sana ngoma ngumu sana kutoka major Kwenda Lt colonel hapo ndiyo kisanga chakuachania
 
Huyo askari mwanaume wangemstaafisha tu yaani miaka 27 ya kufanya kazi bado hana hata nyota ni sergent tu looo uvivu wa kusoma .Huyu anatakiwa aondolewe cheo hicho ni cha vijana wadogo tu zee zima sergent !!! Haoni aibu?
usiongee usichikijua wewe !Haya majeshi yasikie tu magereza,jwtz,polosi watu wanamasters lakini wameishia kuwa sargents tu
 
Ww nawe ni pro-ccm, chawa wa kijani, ccm ndo imeifikisha hii nchi hapa, huyo bwana magu na lichama lake ni wa kuwaondoa kabisa
 
Askari wengi tz hawana shule mkuu
 
Kwenye suala la kulaaniwa, akumbuke alichokifanya kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.
 
Naamini huyu jamaa aweza kuwa matatani saiv kulidhalilisha Jeshi...kudai dai Haki
 
 
Huyo askari mwanaume wangemstaafisha tu yaani miaka 27 ya kufanya kazi bado hana hata nyota ni sergent tu looo uvivu wa kusoma .Huyu anatakiwa aondolewe cheo hicho ni cha vijana wadogo tu zee zima sergent !!! Haoni aibu?
officer sio cheo cha shukrani. kuna qualification lazima awe nazo. sio experience.
kama hana atachezea hapo hapo mpaka ana staafu
 
Sasa mbona askar wa jwtz vijana wadogo wana nyota au V, tofaut na polis kumkuta kija ana nyota 3 au 2 ni nadra sanaa
jeshini kwasababu vijana wengi wanaingia wakiwa form 6 or diploma na degree. wanakuwa na qualification za kwenda officers course.
police ni otherwise... na siku zote jeshin ukianza na cheo cha V.. kuna kupata nyota ni shughuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…