mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mkuu ungekomaa na mabo ya vyama basi sana ccm ingekua safi sana.Angeeleza kilichodababisha akae miaka 27 kazini akiwa na cheo kidogo hivyo cha usajenti!!! mawili ana alili ndogo au utendaji wake mdogo mno.Huyo mkewe aweza kuwa na akili kubwa na utendaji wake mkubwa kazini kwake
Polisi vyeo kama hajasoma cheo cha kwanza ni koplo.Anakuwa na Hizo V mbili.U
Yeye miaka 27 ana V Tatu ina maana yuko cheo cha pili tu toka chini .Huyo ana matatizo .Haiwezekani kazi miaka 27 umepanda vyeo viwili.Kuna shida hapo.Yuko cheo cha chini alitarajia alipwe mshahara wa cheo cha juu? Kujiliinganisha na mkewe kisa elimu sawa hayuko sahihi kuna swala la utendaji je utendaji wake kazini na wa mkewe uko sawa?
Lakini pia nimuonye sio vizuri kujiñinganisha na mwanamke kuwa mnalingana elimu nk kuna tofauti akina mama wana mengi maofisini ya kuwafanya wawapite wanaume kivyeo kimishahara nk siyaandiki humu.Ila siku ingine asije hata thubutu kujifananisha na askari wa kike waliyeanza kazi wote siku moja wakiwa na elimu moja nk
haipendezi kujadili mambo ya kada sisiyo yako kwa mtindo wa ujuaji kiasi hiki.
wewe unadhani kila mwenye sifa anapandishwa cheo??mbona hapo lumumba wengi mnajipendekeza sana ili wenye uwezo wasisikike!!hizi ajira zenu zisizo za kuzalisha haziangalii potential ya mtu kazini,ila ni kwa namna gani ni chawa wa kiongozi.
kama umefatilia ziara ya mh rais udinduzi wa mabweni ya polisi,kuna askari alipata nafasi ya kutoa neno mbele ya mh rais,kwa jinsi alivyoongea tegemea apande vyeo sana na atasifiwa.sababu aliwasafisha wenyewe mbwa mbele ya rais.lakini huyu mzee hata kwa kumtizama usoni anaonekana sio wa kuchekea usen&,basi anasiginiwa kunguni.