YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Angeeleza kilichodababisha akae miaka 27 kazini akiwa na cheo kidogo hivyo cha usajenti!!! mawili ana alili ndogo au utendaji wake mdogo mno.Huyo mkewe aweza kuwa na akili kubwa na utendaji wake mkubwa kazini kwakeNampongeza huyo Askari kajitoa mhanga kueleza fukuduku lake
Polisi vyeo kama hajasoma cheo cha kwanza ni koplo.Anakuwa na Hizo V mbili.U
Yeye miaka 27 ana V Tatu ina maana yuko cheo cha pili tu toka chini .Huyo ana matatizo .Haiwezekani kazi miaka 27 umepanda vyeo viwili.Kuna shida hapo.Yuko cheo cha chini alitarajia alipwe mshahara wa cheo cha juu? Kujiliinganisha na mkewe kisa elimu sawa hayuko sahihi kuna swala la utendaji je utendaji wake kazini na wa mkewe uko sawa?
Lakini pia nimuonye sio vizuri kujiñinganisha na mwanamke kuwa mnalingana elimu nk kuna tofauti akina mama wana mengi maofisini ya kuwafanya wawapite wanaume kivyeo kimishahara nk siyaandiki humu.Ila siku ingine asije hata thubutu kujifananisha na askari wa kike waliyeanza kazi wote siku moja wakiwa na elimu moja nk