@YEHODAYA kaa kimya mzee hakuna ukijuacho,huko polisi kuna mapuuza ambayo yanafikirisha sana.Polisi na Magereza wanabodi moja ya upandishaji vyeo ila kinachofanyika polisi ni ujinga wa kiwango cha lami,constable wa polisi elimu kidato cha 6 au diploma humchukua miaka 14 ili kuwa CPL tofauti na wajelajela ambao huchukua miaka 6-7.
Aya mtu amekaa miaka 14 anakuwa promoted cheo cha CPL ambapo cheo icho huongeza 50k au 60k kwenye mshahara[emoji23][emoji23] vuta picha miaka 14 unasubiri ongezeko kama hilo? Mwl anakuwa ndani ya hio miaka keshapanda madaraja zaidi ya 2 ambapo kila daraja lina 120k hadi 150k.Yani polisi bana wapo nyuma sana hata sioni tija ya elimu walizonazo maafisa wao wa juu(IGP,CP...)
Mimi si askari ila nayajua mengi ya polisi,nimekulia kambini.