and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
Kabisa..Hao askari badaye walikuja kujiona vidampa wa mwisho
Ova
Jamaa aliacha laana, ya mileleView attachment 3346586
Hawa askari kama baadhi wapo, najua wamezeeka sasa, hawana nguvu tena na wanajutia hadi mwisho wa maisha yao hapa duniani.
Inawezekana kutokana na tamaa za mali, kujipendekeza kwa wakubwa ilipelekea kufanya kitendo hiko cha kikatili.
Hata mwisho wa Mobutu hukuwa mzuri, ndipo utajua Mungu ni fundi..
Historia imeonyesha mara nyingi vyombo vya dola hufuata amri za watawala, lakini baadaye huonekana kama wahusika wa dhuluma, huja kuandikwa vibaya katika historia na kulaaniwa na vizazi vijavyo.
Leo hii Patrice Lumumba tunamkumbuka kama shujaa.
Cha ajabu utakuta leo wanaoteseka ni familia, wajukuu, ndugu za hao askari waliofanya huo unyama.Walimkosea sana Patrice Lumumba hawa watu leo hii watakuwa ni wazee ila kwa macho yao wanaona Congo ilivyoharibika hakuna la maana Mobutu alilofanya zaidi ya kuendekeza anasa na uchawi.Hata majumba ya kifahari aliyojenga yamebaki magofu.
Utakuta wanalalamikia kutokulipwa madai na stahiki mbalimbali za kimaslahi kipindi wakiwa kazini.Cha ajabu utakuta leo wanaoteseka ni familia, wajukuu, ndugu za hao askari waliofanya huo unyama.
utakuta ndugu zao wengine wanakufa kwa magonjwa, vita na njaa kama ujuavyo yanayoendelea Congo.
Na bunduki ni chuma na ni nzito, hivyo ilimuumiza..Aisee kama huyo askari aliyempiga na bunduki ya mgongo sijui waliahidiwa nini mana alimpiga nayo kama kuni kwa nguvu zote mpaka Lumumba akajikuna mgongo 🥲🥲
La mwisho kabisa hao askari walikufa masikini kimmbwa kabisa naoNa bunduki ni chuma na ni nzito, hivyo ilimuumiza..
Kuna mwingine hapo akaja kwa nyuma akampiga ngumi kichwani sijui ni kofi kwa nguvu...
Inasikitisha sana, kama katika kumkamata tu walimtesa hivyo imagine walikompeleka walimtesa kiasi gani...
Ni marufuku kumfananisha huyo kichaa wako na Patrice Émery Lumumba😎Tundu lisu wa leo ,na papa leo
**** may...e ,huyo askari aliyempiga kibao yupo kweli