Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

Ila ni kweli kuwafananisha watu ambao level zao zimepishana sana. Ni muda sasa wa kumfananisha na msanii mwingine Ila sio Diamond tena.
Ila huu ni ukweli mchungu
 
Na wakimzengua atasema tena hawajui, jamaa hanaga mchezo huyu.
 
Unajua mtu ukiwa na demu mkali sanaa alafu wewe huna pesa ya kumuhudumia lazima unakua umeghafilika flani hivi. Ndiyo huyu sasa Baraka the Prince.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huyo demu sijui anawezaje kumvulia mwana coz mchizi sasa hivi kafulia halafu madon kibao wanataka kuweka mzigo kwa naj ili waonje pepo ya mtume
 
Hata wewe hatuwezi kukulinganisha na Ali kiba tutakua tunakukosea heshima maana umemzidi
Ni kweli Ali Kiba hapaswi kulinganishwa na Diamond, na hii ni simply tu kwakuwa mahadhi ya nyimbo zao hayafanani hata kidogo.

Uyo Ali hata kama hamfikii Diamond kwa uwezo kama mnavyompima bado ana flavour zake, words art ya kivyake na ana mashabiki wake wanaovutiwa na hiyo style yake na sio kwamba eti ni msanii aliyenyongorota kama msiompenda mnavyowish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…