Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

We usipate nao shida hao tumewazoea na WANA stress ya KUTOKA PATUPU SOUNDCITY AWARDS...wanampa jamaa sifa nyiiiiiing afu hana jambo kwa vurugu alizofanya Diamond mwaka jana na show za mwaka huu mwanzon ulitegemea akose tuzo?...WANA STRESS HAO NA NYAU WAO WANAMFANANISHA NA SIMBA hahahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mwana kazingua kumzulumu man water kama vip atembeze bakuli tumchangie
Man water alijua Ali kiba kama 20% Asa anashangaa Mwana harekod kwake na anasumbua mtaani yeye na vijana wake kibinadamu lazima iume na utafute kaubaya kidogo umchafue mtu..hahahahahaaaaa maana tangu ally aache sijaskia tena ngoma Kali kutoka KOMBINENGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baraka ana stress za maisha, muziki umemshinda tangu ajitoe kwenye management ya Ally Kiba, akaanza kulalamika akimpigia simu Ally hapokei, aliondoka kwa mbwembwe na lawama nyingi yakamshinda akaanza kujipendekeza na Ally si mnafiki akaona potelea mbali hata kwenye simu siongei na wewe, akaenda kuanzisha ya kwake na Najma kaita BANA 9baraka na Najma) kajikuta amepoteza patna na mpenzi sasa amebaki kupayuka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…