Video: Baraka The Prince adai Alli Kiba ni level ya Best Naso na sio Diamond Platnumz

Huo ndo Ukweli Mkuu Ali kiba Alikua Anambeba Sana Man Water,
 
Diamond na alikiba wote hamna kitu
 
Ali ana platforms kubwa sana angetwist mziki wake kukamata soko la nje ya Tz kwa kufanya kollabo angeongeza mashabiki na angekuwa mbali sema ni mvivu asiyejichanganya na anayefanya vitu vyake mwenyewe.Kabaki kuimbia watz tu na watz wenyewe wameanza kutokumuelewa. Ali kama una pita huku changamka bhn.
 
Baraka ana stress tu alikiba daily bila kiki anamaintaina kwenye gemu kakimbia ima thr boy rock star sasa njaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…