Lazima tupige kelele tusije kurudia kosa.
Kuwa na imani na watanzania, usiogope sana. Hakuna chama kinachokiliki watu , vyote vinatafuta wanachama humu humu miongoni mwetu.Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Hatari huioni? Mrithi wa Pengo anamchekea mbaya wa rafiki wa Pengo!
Hiyo clip lazima ipelekwe kule mapumzikoni ili ionwe na kujadili LA kufanya.
Nasikia hata yule aliyetekwa na kupatikana kesho yake Buguruni kaulizwa mawasiliano yake na jasusi.
Lakini pia mawasiliano yake na Msekwa na Msuya!
Chungu cha Lumumba kweli kinatokota, hakuna kuaminiana na watachapana sasa hivi. Wazee wote hawaaminiki sasa labda Mwinyi tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise nyie mbona hamjifunzi kutokana na makosa! Lowasa, Sumaye na wengine hivi bado mnamshangilia Membe? Amekupeni nini huyu mtu? Inamaana chadema hawajaandaa mtu wa kusimama mpaka kila siku Membe?
Aise mpaka inakera?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mmekuwa waoga hivyo?! Nani atagombea CHADEMA kama hamtaki kukaribisha wanachama wapya?!Kila nikiona mtu wa upinzani akimshabikia Membe hua naona lile somo la Lowassa halikutuingia vzr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katoliki ni taasisi kubwa sana Membe ni mseminari so hiyo ni kawaida sana!
Mbona mmekuwa waoga hivyo?! Nani atagombea CHADEMA kama hamtaki kukaribisha wanachama wapya?!
Mbona ACT wamewapokea waliokuwa CUF, nyie hamtaki yeyote kisa Lowassa alirudi ccm?!
Asnte sana kamisaa2020 ni Lissu Vs Magufuli na Lissu anashinda Magufuli anatangazwa kwa nguvu mataifa ya nje yanaingilia kati na jeshi linamtemesha tonge.
2020 ni Lissu Vs Magufuli na Lissu anashinda Magufuli anatangazwa kwa nguvu mataifa ya nje yanaingilia kati na jeshi linamtemesha tonge.
Katoliki awamu hii hatuna maneno,ni 'mwenzetu' huyu hatuna haja ya kutoa waraka kama enzi za JK.Kanisa katoliki halipo kimya litatenda miujiza mwaka mpya heri ya x-mass wote
Katoliki awamu hii hatuna maneno,ni 'mwenzetu' huyu hatuna haja ya kutoa waraka kama enzi za JK.
Sent using Jamii Forums mobile app
Membe anajua anachofanya ni mtaalamu mbobezi, mnusa harufu za mbali mwenye macho ya mwewe mwacheni aendelee na ya moyoni
Ubarikiwe lakini Kanisa katoliki limenuna litacheka muda ukifika
Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Mbona mmekuwa waoga hivyo?! Nani atagombea CHADEMA kama hamtaki kukaribisha wanachama wapya?!
Mbona ACT wamewapokea waliokuwa CUF, nyie hamtaki yeyote kisa Lowassa alirudi ccm?!
Hatari huioni? Mrithi wa Pengo anamchekea mbaya wa rafiki wa Pengo!
Hiyo clip lazima ipelekwe kule mapumzikoni ili ionwe na kujadili LA kufanya.
Nasikia hata yule aliyetekwa na kupatikana kesho yake Buguruni kaulizwa mawasiliano yake na jasusi.
Lakini pia mawasiliano yake na Msekwa na Msuya!
Chungu cha Lumumba kweli kinatokota, hakuna kuaminiana na watachapana sasa hivi. Wazee wote hawaaminiki sasa labda Mwinyi tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, natanguliza salamu za sikukuu, bila shaka mnasherekea kwa amani, hata hivyo pamoja na kusherehekea nimeona nisiwaache hivi hivi tu.
Nimeileta kimkakati tu , wala si lengo langu kumpeleka Membe Chadema