Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

unadhani kwanini Ngetti ametekwa mara 4 , kwani si ccm yule ?

Siku hizi neno ''kutekwa''' ni fasheni....Mtu unaweza kuamua kwenda mahali labda ''grocery'' ya mafichoni kwa siku mbili ..na baadaye ukatangaza ulitekwa au ukawaambia washikaji wasambaze taarifa za "kutekwa"" kwako..
 
Oh!! Magufuli mseminari!!! Membe mseminari....aisee. hawa ni ndugu niamini Mimi.
 
2020 ni Lissu Vs Magufuli na Lissu anashinda Magufuli anatangazwa kwa Naam Wardi wangu ayuni

Niliyekuweka mwangu moyoni

Kitambo sijakutia machoni mataifa ya nje yanaingilia kati na jeshi linamtemesha tonge.
Ni ndoto Mkuu
 
Kuna mtu kasema Ruwaichi ni kada wa ccm, na wanatumika na ccm ku mediate mgogoro wa Membe na ccm, sijui kama ni kweli au hisia zao tu.

Ikiwa ni kweli, ni kwamba Ruwaichi ana rithi mikoba ya Pengo na ikiwa ndivyo, kukutana kwake na B Membe ni faida kwa ccm au wale wafuasi wa Membe?!
 
Kamanda ndio maana nakwambia Chadema inaongozwa na walewale na tabia ni kama ngozi zaidi "you can't teach an old dogs new tricks"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mnataka Membe awe mbadala wa Lowassa 2020?kweli tabia ni kama ngozi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu hoja yako sio mbaya, ila rekebisha jina la huyo Askofu, sio Rwaichichi, bali ni Ruwaichi.
 
Magu hana sababu ya kufanya reconciliation yoyote ile na Membe maana hakuna kitu Membe anaweza akamfanya Magu.

Taasisi ya urais ni kubwa sana na ima nguvu,kama tu DG wa TISS alitumbuliwa juzi hapo fresh kabisa na hamna kitu amefanya itakua huyo Membe?

Reconciliation hua inafanyika kati ya watu wanaokaribiana nguvu sasa sioni kama Magu na Membe wanakaribiana nguvu za kisiasa au nguvu za aina yoyote ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…