Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.

Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.

 
Mtuhumiwa Lengai Ole Sabaya leo mahamani, zaidi ya kuzomewa na umati mkubwa wa watu kwa kumwita mwizi, ameendelea kulaaniwa na watu mbalimbali ambao amewafanyia uovu mbalimbali. Mmoja wapo ni bibi aliyejitokeza mahamani hapo akimlaani Ole Sabaya kwa kudhulumu mali na mashamba ya wajukuu zake.
 
Hakika huyu Sabaya alikua na roho ya ushetani.huyu bibi ni mmoja kati ya wengi walioumizwa moja kwa moja na matendo ya Sabaya.Tuzidi kushukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuondelea mwendazake.
 
Achane mahakama ifanye kazi yake. Hizo za bibi ni drama tu.....non sense. Wabongo kwa mapambio
 
Back
Top Bottom