MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Kama chokoraa vile, akimaliza mwaka sijui itakuwaje tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama chokoraa vile, akimaliza mwaka sijui itakuwaje tena
Acha fujo za kilevi.Kmmmk, mamako alikuwa analala mtaroni kakupata wewe mbwa unamiliki smartphone sasa hivi unaanza kudharau mama wa mwenzio! Kmmk takataka wewe
Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.
Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
View attachment 1822827
enzi za "mwendazake" leo leo "wasio julikana" wanaye.Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.
Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
View attachment 1822827
Sijui ni Shetani ananiandama au kitu gani , eti nimejikuta namhurumia Sabaya !
Ukatili wake ni nini?Jamaaa alikuwa katili sana na hakuna hata kiongozi aliyeweza kumkemea ukiondoa mama Mgwila
Huyu bibi kama kweli ametoka nyumbani kwake mwenyewe na kutoa kilio hiki dhidi ya Ole Lengai Sabaya na matendo yake mabaya wakati alipokuwa DC pasipo kuandaliwa na watu ili watengeneze filamu feki, basi Sabaya hana pa kuponea na yatampata yote aliyoyatamka huyu bibi...Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.
Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
View attachment 1822827
Hahahaha huyu ni zaidi ya nanihiiiMimi nimekosa tusi
Why are you so judgemental? Sometimes ni busara kusikiliza tea feelings za mzungimzaji kupitia sauti yake. Hebu angalia mavazi yake, anafanana na uliyoyasema? Huenda mamako Hana muonekano mzuri kama wa hiyo Bibi ndio maana unaona wivu!Mama mwenyewe anaonekana analala kwenye vibanda vya mbege hata kiwanja hajawai kumiliki. Acheni siasa chafu kwa Sabaya.
Huyo bibi ni mwizi wa mashamba, usidanganywe na hayo mavazi yake ya kutafuta huruma za watu.Why are you so judgemental? Sometimes ni busara kusikiliza tea feelings za mzungimzaji kupitia sauti yake. Hebu angalia mavazi yake, anafanana na uliyoyasema? Huenda mamako Hana muonekano mzuri kama wa hiyo Bibi ndio maana unaona wivu!
Laana kum weweMama mwenyewe anaonekana analala kwenye vibanda vya mbege hata kiwanja hajawai kumiliki. Acheni siasa chafu kwa Sabaya.
Kabisa.Mama mwenyewe anaonekana analala kwenye vibanda vya mbege hata kiwanja hajawai kumiliki. Acheni siasa chafu kwa Sabaya.
Umamfahamu? Una ushahidi juu ulichoandika? Tuwekee hapa na majina yake yote tukuamini!Huyo bibi ni mwizi wa mashamba, usidanganywe na hayo mavazi yake ya kutafuta huruma za watu.
Kiongozi gani wa serikali mwenye akili timamu akamdhulumu shamba huyo bibi? Kwa faida ya nani?
Kwanza inawezekana amekodishwa na wahuni tu ili azue taharuki.
Hana cha shamba wala nini!
Una ushahidi juu ulichoandika?i!
Kha!kha! khaa!!.Tena huyu alistahili atupwe pale mtera upande wa pili alafu geti lifunguliwe akapigizwe na maji kwenye hiyo miamba
Jamaa anazidi kupauka balaa