Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anatubuKitabu kitakatifu kipo kwenye mikono michafu na iliyo jaaa damu
Acha kuzarau wamama wa wenzio kiruuu!! Kama mama yako analala kwenye nyumba nzuri, shukuru Mungu!! na wenye mama watamani mamayao awe na maisha mazuri pia! acha ushamba!Mama mwenyewe anaonekana analala kwenye vibanda vya mbege hata kiwanja hajawai kumiliki. Acheni siasa chafu kwa Sabaya.
Nadhani umemjibu vyema Uzi ufungwe.Amefurahia mtesi wake kukamatwa
mama ametoa laana kwa sabaya. Yesu alisema anaye ua kwa upanga nayei auawe kwa upanga. Mama kaishia hapoNje ya mahakama alisikika Huyu mama akilia huku akimwaga tuhuma hizi...
Kama kuna yeyote amemwelewa anisaidie tafadhali
Kama iko hivi basi unafiki na fitina umejaa humu jfMama anacholalamika ni shamba la mumewe kuchukuliwa na Serikali enzi za DC Sabaya na kurudishwa kwa wananchi
Sasa kama lilichukuliwa isivyo sawa basi mumewe atarudishiwa, ila kama ilikuwa ni haki kulirudisha kwa wananchi basi imekula kwake maana ni SHERIA na utaratibu wa umiliki na utumiaji shamba ndio vitaamua
Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husikaKama iko hivi basi unafiki na fitina umejaa humu jf
Sabaya yanayomkuta ni uzuzu tu alikuwa matumizi sheria yeye anaropoka tu watu wanatekeleza usipotekeleza anakusemea kwa mwendazake ambaye naye alikuwa uzuzu anaamua hapohapo.Tokalini DC akagawa mashamba bila mabaraza ya ardhiMama anacholalamika ni shamba la mumewe kuchukuliwa na Serikali enzi za DC Sabaya na kurudishwa kwa wananchi
Sasa kama lilichukuliwa isivyo sawa basi mumewe atarudishiwa, ila kama ilikuwa ni haki kulirudisha kwa wananchi basi imekula kwake maana ni SHERIA na utaratibu wa umiliki na utumiaji shamba ndio vitaamua
Inatia uchungu, kama katika ngazi ya DC tu amefanya hayo sijui angekuwa Chalamila ingekuwajeNje ya mahakama alisikika Huyu mama akilia huku akimwaga tuhuma hizi...
Kama kuna yeyote amemwelewa anisaidie tafadhali
Unaijua hii story vizuriAlichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika
Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods
Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika
Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods