Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

2773061_FB_IMG_1620925066257.jpg

Huyu bwana alikuwa analia kweli wala alikuwa hatanii alijua mfadhili wake hayupo tena udhalimu wote unaenda kuanikwa hadharani.
 
CDM ndiyo habari ya mujini maana kila aliye itenda mabaya leo hii ndiyo anahenyeshwa
We mchaga vp banaaa,2025 ndo Mgombea wenu wa Urais huyo mbona tumewazoeaaa.

Na mtazungusha mikono ya MABADILIKOO SABAYAAA,SABAYAAA MABADILIKOO.

Wananchi wanawaona hamnazo tu
 
Kibibi kinapiga siasa.
Siasa au anasema yake ya moyoni.mm naishi arusha sabaya alimpenda mke wa mdogo wangu akakataliwa alikuja na wenzie 5 wakampiga dogo nusu kufa pale cocoriko na video ipo.na kesi tunampa soon upelelezi umekamilika.na mm nafanya siasa eti? Kalawiti watu kibao kambaka nandy etc
 
Alikuwa analia kwa kumaanisha kweli kulia.
Shujaa wake kamuacha ghafla na nani ambae atakuwa mshirika wake katika kuwatesa 'Wachaga'.
Tanzania haijawahi kupata Raisi wa ajabu Mkabila Katili asiyejali HAKI za Binadamu.
 
Wengine humo wanapotosha mada. Bibi kasema viwanja vya wajukuu zake. Yawezekana wajukuu kwa jitihada zao walimiliki viwanja.

Lakini pia hamjawahi kukutana na wabibi kama hao wanamiliki viwanja au mashamba?

Viongozi wetu hasa vijana wawe wana fanya tafakari. Haiwezekani mtu mmoja una tuhuma kibao za kuumiza watu...wewe tu?
 
Hili suala linafurahiwa na wana ccm hasa wale wafuasi wa mwendazake maana Sabaya ndiye alikuwa kipenzi chake.

Sabaya kuharibikiwa ni dhahiri kunaondoa ndoto za MATAGA woote za kulazimisha legacy ya mwendazake.
 
Wengine humo wanapotosha mada. Bibi kasema viwanja vya wajukuu zake. Yawezekana wajukuu kwa jitihada zao walimiliki viwanja.

Lakini pia hamjawahi kukutana na wabibi kama hao wanamiliki viwanja au mashamba?

Viongozi wetu hasa vijana wawe wana fanya tafakari. Haiwezekani mtu mmoja una tuhuma kibao za kuumiza watu...wewe tu?
Eti
 
Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika

Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods
Mods wanawapenda sana hawa wachochezi.
 
Back
Top Bottom