Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika

Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods
Huo ndio ukweli halisi, Jana pale Mahakamani kulikuwa na kundi la kimkakati limepewa pesa ili kumzomea Sabaya.
Kundi hilo liliongozwa na Albogast Swai mkazi wa Sanawari

Pia huyo mama alikuwa sehemu ya mkakati huo, ndio maana aliposogelewa na Media akaanza kuondoka huku akikwepa kuhojiwa kwa kina.
 
Hao ndio watanzania. Niliwahi kusema Sabaya ana tuhama nyingi sana zenye ushahidi
Hapa keshapoteza... wananchi wameongea. Tena sio wananchi tuu, ni wananchi wa kada zote

Ajibu tuhuma zake sasa

Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika
Sabaya Hana mamlaka ya kubadilisha umiliki wa mashamba.

Lkn hata shetani ana wafuasi. Sishangai.
 
Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika

Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods
Nipe kifungu cha sheria kinachomruhusu Dc kugawa mashamba.
 
Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika

Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods
Jf imekua kama CHADEMA ONLINE FORUMS
 
Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods
Naam, JF imevamiwa na viwavi kama wewe na upumbavu hauna itikadi...DC anamnyang'anya mwananchi shamba lake kama nani na kwa sheria ipi?
 
Mama anacholalamika ni shamba la mumewe kuchukuliwa na Serikali enzi za DC Sabaya na kurudishwa kwa wananchi

Sasa kama lilichukuliwa isivyo sawa basi mumewe atarudishiwa, ila kama ilikuwa ni haki kulirudisha kwa wananchi basi imekula kwake maana ni SHERIA na utaratibu wa umiliki na utumiaji shamba ndio vitaamua
Sabaya kanyang'anya mashamba watu wengi huko Hai Tena kibabe hata ukiwa na hati, watu ndo wanafatilia, wakiamua wote kwenda mahakamani wanaweza fika 100 hivi
 
Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika

Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods
Mashamba ya watu ya urithi ufute, nadhani hujui mazingira ya hai yalivo ndio maana una muingiza Hadi lukuvi, hafu kufuta hati si huwa Raisi ana mamlaka hyo, na huko hakujawahi kuwa na migogoro ya ardhi watu hurithi tu enzi na enzi.
 
Sabaya yanayomkuta ni uzuzu tu alikuwa matumizi sheria yeye anaropoka tu watu wanatekeleza usipotekeleza anakusemea kwa mwendazake ambaye naye alikuwa uzuzu anaamua hapohapo.Tokalini DC akagawa mashamba bila mabaraza ya ardhi
Hebu muulize na yeye Hilo swali, yeye alimezwa na chuki za Jiwe had akajisahau
 
Back
Top Bottom