Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

Huyo bibi is fixed....hapo hakuna aliyeporwa shamba hapo...........hakuna kiongozi wa kumpora huyo bibi shamba....
 
Pona ya Sabaya ni aendelee kubaki Gerezani.. Huyo Bibi wa kichaga ameongea kutoka moyoni halafu kuna mtu anadai eti ametumwa..
 
mteremsheni nimn'gate .kiruu
... yaani amng'ate koromero vibayavibaya!
1624030803589.png
 
Huyo bibi is fixed....hapo hakuna aliyeporwa shamba hapo...........hakuna kiongozi wa kumpora huyo bibi shamba....

Umesoma vizuri na kuelewa,labda nikupatie ufafanuzi kidooogo.

Aliyedhulumiwa shamba ni kijana wake na Bibi na bahati mbaya kijana alishafariki na kumwachia watoto Bibi.

Kilio cha Bibi ni haki ya Marehemu ambae ni kijana wake.Wabibi wengi vijijini wanamiliki mashamba either kwa kurithi au kwa kununua.

Bibi kasafiri kutoka Wilaya ya Hai hadi Arusha kumfuatilia mtesi wake tusimbeze kwa kutazama muonekano wake au namna anavyowasilisha hisia zake Sabaya ni Number nyingine mambo aliyowafanyia watu hayajawahi kufanywa au kutendwa na DC yoyote tangu Tanganyika ilipojipatia uhuru wake toka kwa 🇬🇧.

Najua wapo watu kibao wanajaribu kutetea maovu ya Sabaya lakini mkiwekwa katika nafasi ya wahanga hakika miandiko yenu humu jamvini itabadilika haraka sana.Ni bahati mbaya sana unakaa keyboard unaandika kwakuwa ni rahisi kuandika.
 
Nimejaribu kuiangalia historia ya Tanzania haijawahi kutokea hata Kleruu hafiki kwa huyu mtesi😤
 
Huyo bibi is fixed....hapo hakuna aliyeporwa shamba hapo...........hakuna kiongozi wa kumpora huyo bibi shamba....
Friend nilikutafuta sikuoni jamani, kumbe umehamia huku....😁
 
Back
Top Bottom