Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

Mama mwenyewe anaonekana analala kwenye vibanda vya mbege hata kiwanja hajawai kumiliki. Acheni siasa chafu kwa Sabaya.
Acha utoto we dogo, unadhani anamiliki kiwanja hapa Dar? Huyo anamiliki shamba huko vijijini. Hapa Tanzania watu wengi wako huko vijijini, na karibia wote wanamiliki mashamba, lakini wana maisha magumu sana.
 
Mama mwenyewe anaonekana analala kwenye vibanda vya mbege hata kiwanja hajawai kumiliki. Acheni siasa chafu kwa Sabaya.
HENRY_KILEWO_on_Instagram:_“Hii_ni_Picha_Bora__kabisa_ya_Wiki...”%22_.jpg
 
Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.

Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.

View attachment 1822827
Wafanyabiashara wengi wa nchi hii wanamakando kando mengi na pia si wote wanaofanya biashara halali.

Wanapominywa waminywe tu hadi kieleweke.

Kuna mwarabu mmoja anauza budhaa za uvuvi maeneo ya Nera Mwanza, nilinunua bidhaa kwake na iyo bidhaa ilikuwa ya ushirika yani mimi na jamaa yangu.

Nilipomuagiza mtu akachukue ulemzigo wenye thamani ya 2M akampa risiti ya 750,000 nilipomrudia ili nipate risiti halali iwe ushahidi kwa mwenzangu kuwa nimenunua bidhaa zenye thamani fulani alikana na kusema kuwa ametoa risiti ya 2M na iyo ya 750,000 akasema labda alimuuzia mtu mwingine.
 
Hiyo haiondoi uharamia wa Sabaya
 
Hako kabibi kamechoka namna hiyo kana uwezo wa kumiliki kiwanja kweli?

Hicho kiwanja ni kipi?
 
Mkuu hii inahusianaje na sabaya kuiba kiwanja cha huyu bibi?

Back
Top Bottom