Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
enzi za "mwendazake" leo leo "wasio julikana" wanaye.Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.
Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
View attachment 1822827
We mchaga vp banaaa,2025 ndo Mgombea wenu wa Urais huyo mbona tumewazoeaaa.CDM ndiyo habari ya mujini maana kila aliye itenda mabaya leo hii ndiyo anahenyeshwa
Chadema ndio habari ya wapi vile🤣🤣🤣🤣🤣🤣CDM ndiyo habari ya mujini maana kila aliye itenda mabaya leo hii ndiyo anahenyeshwa
Alikuwa analia kwa kumaanisha kweli kulia.View attachment 1823314
Huyu bwana alikuwa analia kweli wala alikuwa hatanii alijua mfadhili wake hayupo tena udhalimu wote unaenda kuanikwa hadharani.
Siasa au anasema yake ya moyoni.mm naishi arusha sabaya alimpenda mke wa mdogo wangu akakataliwa alikuja na wenzie 5 wakampiga dogo nusu kufa pale cocoriko na video ipo.na kesi tunampa soon upelelezi umekamilika.na mm nafanya siasa eti? Kalawiti watu kibao kambaka nandy etcKibibi kinapiga siasa.
Shujaa wake kamuacha ghafla na nani ambae atakuwa mshirika wake katika kuwatesa 'Wachaga'.Alikuwa analia kwa kumaanisha kweli kulia.
Hili suala linafurahiwa na wana ccm hasa wale wafuasi wa mwendazake maana Sabaya ndiye alikuwa kipenzi chake.Wengine humo wanapotosha mada. Bibi kasema viwanja vya wajukuu zake. Yawezekana wajukuu kwa jitihada zao walimiliki viwanja.
Lakini pia hamjawahi kukutana na wabibi kama hao wanamiliki viwanja au mashamba?
Viongozi wetu hasa vijana wawe wana fanya tafakari. Haiwezekani mtu mmoja una tuhuma kibao za kuumiza watu...wewe tu?
Lile lilikuwa jangiliHakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.
Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
View attachment 1822827Li
EtiWengine humo wanapotosha mada. Bibi kasema viwanja vya wajukuu zake. Yawezekana wajukuu kwa jitihada zao walimiliki viwanja.
Lakini pia hamjawahi kukutana na wabibi kama hao wanamiliki viwanja au mashamba?
Viongozi wetu hasa vijana wawe wana fanya tafakari. Haiwezekani mtu mmoja una tuhuma kibao za kuumiza watu...wewe tu?
Mods wanawapenda sana hawa wachochezi.Alichokifanya Sabaya hakina tofauti na aliyoyafanya Waziri Lukuvi kufuta umiliki wa mashamba kadhaa ya watu walioshindwa kuyaendeleza na kuyarudisha kwa Serikali ya kijiji ya eneo husika
Ila JF humu imejaa watu wenye itikadi za upande mmoja wa kisiasa huku wakipewa sapoti kubwa na Mods
Aisee, hii ni hatariHakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema.
Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
View attachment 1822827
tuna draft mashitaka mapya 6 akichomoa hayoAchane mahakama ifanye kazi yake. Hizo za bibi ni drama tu.....non sense. Wabongo kwa mapambio
MmhInatia uchungu, kama katika ngazi ya DC tu amefanya hayo sijui angekuwa Chalamila ingekuwaje