PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Wataalamu wa magari huwa wanashauri kuepuka matumizi ya gesi kwenye magari na badala yake ni Bora ununue hybrid car ili ufurahie maisha.
Tumeona wengi wamefunga CNG eti Kwa kuepuka gharama za mafuta kitu ambacho ni matatizo baadae kwenye engine hata Huko ulaya walishaacha haya matumizi ya gesi, huu mfumo hauna mpango wowote kwenye ulimwengu wa magari hasa Kwa magari ya ulaya
Mfumo WA CNG tuwaachie watu wa bajaj na Toyota kwasababu Yana mifumo rafiki Kwa technology hii