Video: BMW X1 umeungua kizembe baada ya kufungwa mfumo wa gesi/CNG

Video: BMW X1 umeungua kizembe baada ya kufungwa mfumo wa gesi/CNG

Acha kupotosha , hizo Dualis mnazosema zinaungua huwa zimefungwa CNG? Gesi ya CNG ni nyepesi kuliko hewa, hata ikivuja hupotelea hewani kabla haijawaka.., hapo ipo sababu nyingine..

Halafu nimegundua wabongo wachawi sanna, badala ya kutoa msaada wa kuzima yenyewe yanaangalia na kufurahia..
Sijui kwanini gari hiyo imeungua ila kwa jinsi huo moto unavowaka ni dhahiri huo ni moto wa gas
 
Huu unaoongea ni ujinga mtupu. Kwanini nasema hivyo? Zipo gari za Japan zenye mfumo wa kutema mafuta wa ‘GDI’, yaani ‘Gasoline Direct Injection’, gari hizi huwezi kufunga CNG hata kama ni ya Japan, pia zipo za Ulaya ambazo ni za ‘Naturally aspirated’ fuel injection, ambazo unaweza kufunga gesi vizuri tu.., hivyo hiyo notion yako haina mashiko wala technical basis yoyote..
Asije kuwa alifunga gasi kwenye X1 yenye N20 au N55 maana zote ni DI
 
Back
Top Bottom